Habari za mida mibovu, mida ya kupumzisha miili yetu kutokana na pilika mbali mbali za mchana kutwa.
Wakuu mida hii naandika huu uzi nipo Makambako naelekea Dar au Tanzania nataka nitoboe mpaka...
NOTE: HILI SWALI LINA JIBU ZAIDI YA MOJA
Pia soma hapa ----->>>>> Ushauri kwa Mamlaka ya kupambana na dawa za kulevya, Wizara ya michezo, TFF pamoja na BMT
Assalam aleykum waungwana,
Mimi ni Muislamu mwenye akili timamu na ninaitakidi Sheikh Alhadi ni Muislamu mwenzangu.
Huwenda baadhi ya watu watahisi kama mimi sio Muislamu ila nimetumia mwanya...
Wadau naomba Kwa yeyote anayeweza kutoa ushauri wa tiba ya vipele vinamtokea mtoto mara kwa mara na kutibiwa bila mafanikio.huwa vinamuwasha na havitoi usaha na vinamletea Kuchemka kichwa
Salute wakuu,
Kipindi nimetoka bush ndio nimeingia ingia jijini nilitapeliwa mara mbili miaka hiyo, mara ya kwanza nilitapeliwa kwa kuuziwa sabuni badala ya simu (85,000) na mara ya pili...
Serikali kupitia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeitaifisha shehena ya Sukari kutoka Kenya ambayo imekamatwa mpakani Namanga ikiingizwa nchini kwa njia za magendo
Sukari hiyo imekutwa ikiwa...
Sukari inayodaiwa kutoka nchi jirani ya Kenya imekamatwa mpakani Namanga ikiingizwa nchini Tanzania kwa njia ya magendo. Maafisa waliikamata sukari hiyo ikiwa imewekwa kwenye mifuko ya Azam na...
Inashangaza sana! Juzi tu tulikuwa tunapata shida ya mafuriko. Leo hii vumbi kila kona nchi nzima.
Kila mkoa kuna shida sana!Vumbi mno.Dar mpaka moro.Dom mpaka Moshi. Moshi mpaka Mbeya.
Nini shida?
nikitizama waaislam wanaunga mkono mamlaka na harakati za wapalestina na wakristo wapo upande wa israel.je israel inawakilisha ukiristo na kiaje na palestine inawakilisha uislam??ki vipi???
Wanajamvi na watanzania napenda kuwataarifu kuwa katika malipo ya madai ya watumishi kuna uonevu mkubwa sana.Watumishi wengi hawapo sijui ni kwanini?
Mfano ni HALMASHAURI YA MERU,watumishi wengi...
Wakuu,
Kuna vitu vingine tunatamani tu tuone vikitokea lakini haviwezi kutokea kwa sababu tuna limitation yetu ya kufikiri na hakuna namna ambayo mtu anaweza kufanya jambo above & beyond uwezo...
Nimekuta ubishani wa nchi alozaliwa Yesu. Kwamba mji huu wa Bethlehem upo Israel au Palestine? Jibu sahihi ni kuwa Bethlehem IPO nchi ya Palestine ambako 95 % ni waislamu. Ni mji uliopo kusini mwa...
Ngono ni mashindano yasiyokuwa na mshindi.
Mashindano ambayo wengine hutumia dakika tano wengine zaidi ya masaa matatu lakini baada ya kupizi ndio mwisho wa safari.
Wengine hufanya kwa ushindani...
Wiki ijayo nitakuwepo tabora nikitokea Dar Es salaam kwa muda wa wiki nzima. Natafuta mdada wa kuwa mwenyeji wangu kwa siku hizo za wiki nzima.
Unaweza kuniPM kwa kujuana zaidi.
Nadhani lengo zima la mitandao ni kuwasiliana na kujamiiana, lakini hii ni tofauti na sisi watanzania, Watanzania wengi wameigeuza mitandao ya kijamii kama vijiwe na majukwaa ya kujikweza...
Papa Francis amekuwa akilipinga tamko hili Kwa nguvu sana hadi Leo siku ya Christimass karudia tens. Nimekuwa nikiwasikiliza pia viongozi Wa kianglican uingereza, na kilutheri pia! Mbona msimamo...
Binadamu tuna majaribio mengi duniani, wakati nimeshamaliza kusoma mwaka 2000 kisiwani Pemba nilipata ajira ya kusimamia Guest house nikawa kama manager kipindi icho wageni walikua wengi na wengi...
Nimepita katika ukurasa wa Facebook nikakutana na andiko hili fupi kutoka kwa Mdau mmoja wa Facebook,
"Unapocheza soka, kuna vitu 2 unaomba Mungu visitokee kabla ya dk 90. Vitu hivyo ni kupata...
Nimetembelea baadhi ya saluni hapa jijini Dar saluni na kuangalia jinsi wanavyotoa huduma za kukata nywele kwa wanaume na baadhi ya wadada nimeshtuka kidogo.
Nakumbuka huko nyuma wakati wa...