Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habar wana JF.Naomba mnijuze juu ya hizo mashine tajwa hapo juu mana nahtaji kufungua biashara ya miamala, faida , hasara na changamoto zake. ahsanten
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanabodi, jana katika maelezo ya majumuisho ya Rc mkoa wa Dsm, kuna mchungaji mmoja fisadi wa kuzalisha wanafunzi alitajwa kwa jaziba, kwamba asiione oxgen ya kanisa lake leo. Ni nani huyo kwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Unakumbushwa simba akishinda Tanzania imeshinda wapenzi wa simba na wazalendo tujadili pamoja[emoji7]
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natafuta mtu anaefahamu uchawi, Upi mzuri wa iringa au ileje, upiwanauza beinafuu
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kijijini kwetu nikiwa kijana mdogo nilimjua mbuu, hawa walifanana sana na mamba au mjusi mkubwa. Kenge nilipata kumsikia mjini, ama hakuna huyu mnyama ama ndio yule mjusi jamii ya mamba. Mbuu...
2 Reactions
16 Replies
12K Views
Nimepata taarifa kuwa aliyekuwa afisa ardhi wilaya ya Meru bwana Hilu mwenyeji wa mbulu, amehamia wilaya ya Kinondoni. Mtu huyu ni hatari sana na ni tapeli mkubwa. Amekuwa akijikusanyia mali kwa...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Kwa ujumla mimi napinga juhudi zinazofanywa na wanaopinga ukeketwaji watoto wa kike kwa sababu zifuatazo: 1. Ukeketaji ni mila. Ktk baadhi ya kabila ambazo hudumisha mila hii ni muhimu sana kwa...
1 Reactions
3 Replies
934 Views
Je kuna uwezekano wa deni la taifa kushuka? i.e kutoka lilipo mpaka chini kabisa!! Tupe mfano wa nchi zilizoshusha deni la taifa
0 Reactions
0 Replies
843 Views
IGP Sirro pamoja na Waziri Mwigulu kila wakati walipotakiwa kueleza hatua iliyofikiwa na jeshi la Polisi katika kupeleleza tukio ovu la kujaribu kuuawa kwa kipenzi chetu Tundu Lissu walikuwa...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Sekta inayoongoza kwa watu kuuwana na kukatana mapanga ni Aridhi. Kesi nyingi zilizoko mahakamani ni za aridhi Watu wamefilisika na wengine wamekosa ada za watoto wao sababu ya migogoro ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai sura 20 kifungu 11 kinaeleza namna ya ukamataji, aidha kifungu hiki mahsusi cha ukamataji hakimruhusu askari kumpiga na kumtesa raia akiwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wajuzi wa masuala ya gesi,kwanini gesi haiuzwi kwa ujazo tofauti kama mafuta ya petrol? Kwani ni lazima ununue mtungi full? nini madhara ya kuuza gesi kwa ujazo tofautitofauti?
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Clouds tv kuelekea siku ya wapendanao katika kipindi chake cha mapenzi mubashara wamekuwa wakiwahoji wenyeviti wa vyama vya siasa. Walianza na Augustino Mrema, leo nimemuona na kumsikia mzee...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu watanzania wenzangu mimi in mhanga wa kudhulumiwa kiwanja na Watendaji wa Ardhi Manispaa ya Kinondoni zaidi ya miaka 10 sasa na Afisa husika yupo na ananiambia sitakipata kiwanja hicho labda...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
"One of the big problems of this country is that,the smart and the intelligent people in this country have only forums to express their views and ideas; whereas, the less intelligent, have not...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari zilizo za uhakika zinasema mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya chato kupitia ccm anasakwa na kikosi kazi cha. maliasili pamoja na polisi kwa muda sasa kwa. kujihusisha na uvuvi haramu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwema humu! Moja ya sababu ambazo hutajwa na washirikina ili mtu Arogeke ni pamoja na dhuluma, kutokumtendea haki mwenzako, wizi, uzinifu n.k Bali na kurogwa kupitia Kwa waganga, hata neno la...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Pamoja na mafanikio wanayotangaza serikali ya awamu ya tano, kuna wengi humu tumeathirika kwa namna moja au nyingine. Upande wangu Nina ndugu yangu (mwanamke) kwa baati Mbaya Sana Akiwa na umri...
4 Reactions
38 Replies
46K Views
Hi mada imejitosheleza hapo juu naomba kujuzwa maana babu ananiandaa kunikabidhi mikoba yake ya kimila. Nipo kazini lakini babu kasema lazima mikoba niirithi huku akinisifu kuwa nitamudu hiyo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nikiangalia gorofa zinazo jengwa katika maeneo ya watu wenye kipato cha chini na cha kati ni tofauti kabisa na uwezo wa walengwa. Kariakoo siyo eneo la wachache "Matajiri", ni eneo la watu wa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…