Ukweli mchungu wa kwanini tupo hapa tulipo leo..

Ukweli mchungu wa kwanini tupo hapa tulipo leo..

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,795
Reaction score
165,534
"One of the big problems of this country is that,the smart and the intelligent people in this country have only forums to express their views and ideas; whereas, the less intelligent, have not only forums to express their views and ideas, but also have non written powers and mandate to misuse their power and authority with great impunity!"

It is even sad that, these forums for the intelligent ones, today, are also under threat!!

Tunakoelekea sasa ni hatari kuwa na akili na maono na ni salama zaidi kuwa kilaza mwenye upeo mdogo.
 
Salary slip
Ungeiandaa kwa kiswahili wangeelewa wengi sana.

Ngoja tutembelee magongo lakini tutafika tu japo tutachelewa sana.
 
Nikikuuliza hao intelligent people ni kina nani utanijibu ni kina Mbowe. [emoji3][emoji3]
 
"One of the big problems of this country is that,the intelligent people in this country have only forums to express their views and ideas; whereas the unintelligent ones have not only forums, power and mandate to express and implement their ideas; but also have non written power and mandate to misuse their power and authority with great impunity!"

It is even sad that, these forums for the intelligent, today are also under threat!!

Tunakoelekea sasa ni hatari kuwa na akili na maono na ni salama kuwa kilaza na usio na upeo.
Babu ume frustrate! If you are really intelligent use your intelligence to gain power!
 
Kweli kama wanaotutawala wanatumia utashi kututawala kwa hakika haya tutayaona sana kuanzia leo nasimamisha shughuli za mabaraza ya ardhi ya kata.
 
Kwa akili hizi, kina Bashite hawawezi kukosa watetezi!
Salary slip, tafuta kitabu kiitwacho Mfalme Ju.h.a ukisome uone watu wenye akili wativyotumia akili zao kuushinda ujuha wa Mfalme J.u.ha hadi wakamtoa madarakani. Hoja yangu iko pale pale, kama unajiona una akili lakini unashindwa kutumia akili yako kuwatoa madarakani vilaza basi hiyo akili yako haina akili.
 
Nikikuuliza hao intelligent people ni kina nani utanijibu ni kina Mbowe. [emoji3][emoji3]

Sasa mbona umejijibu mwenyewe??

Kwani yule jamaa mwanye bonde kichwani nae ni intelligent???
 
Salary slip, tafuta kitabu kiitwacho Mfalme Ju.h.a ukisome uone watu wenye akili wativyotumia akili zao kuushinda ujuha wa Mfalme J.u.ha hadi wakamtoa madarakani. Hoja yangu iko pale pale, kama unajiona una akili lakini unashindwa kutumia akili yako kuwatoa madarakani vilaza basi hiyo akili yako haina akili.

Kuwa na akili ya kuendesha nchi ni jambo moja na kupita kwenye vigisuvigisu ya kushika madaraka ni jambo lingine. Usichanganye haya mambo!!
 
Kuwa na akili ya kuendesha nchi ni jambo moja na kupita kwenye vigisuvigisu ya kushika madaraka ni jambo lingine. Usichanganye haya mambo!!
Mwenye akili hashindwi na figisu figisu za asiye na akili. Jifunzeni historia ya tawala za dunia mtaelewa ninachomaanisha. Hebu chukulieni mfano mdogo tu wa kuanguka kwa USSR, muone jinsi wenye akili wanavyotumia akili zao. Huo wimbo wa figisu figisu, unatumika kwa watu ambao akili zao ziko ngoma draw, tena sare tasa ya bila kufungana. Hao wanaojiona wenye akili hapa bongo nao ni vilaza tu, tena huenda ni vilaza kuzidi hao wanaowanyooshea vidole.
 
Back
Top Bottom