kenyamanyori
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 734
- 328
Kwa ujumla mimi napinga juhudi zinazofanywa na wanaopinga ukeketwaji watoto wa kike kwa sababu zifuatazo:
1. Ukeketaji ni mila. Ktk baadhi ya kabila ambazo hudumisha mila hii ni muhimu sana kwa sababu ukizingatia kuwa kiwango cha maendeleo ktk nchi zetu kiko chini. Watoto hawa wakike wananyimwa haki ya msingi kabisa ya kuolewa. Huko vijijini hawaolewi wasiokeketwa.
2. Ukeketaji kwa kuwa ni mila kuiacha kwa kulazimisha watu sio sahihi. Mila mbaya huachwa kwa maendeleo mbadala.
3. Hizi fedha zinazotumika kupiga vita mila hii kama zingeelekezwa kusomesha watoto wa kike vijijini na kujenga miundombinu ya maendeleo vijijini ingesaidia sana kuondoa mila hii kuliko kuliwa na wajanja wachache.