Afisa Ardhi huyu ni hatari sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Afisa Ardhi huyu ni hatari sana

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mantisa, Feb 8, 2011.

 1. M

  Mantisa Senior Member

  #1
  Feb 8, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nimepata taarifa kuwa aliyekuwa afisa ardhi wilaya ya Meru bwana Hilu mwenyeji wa mbulu, amehamia wilaya ya Kinondoni.

  Mtu huyu ni hatari sana na ni tapeli mkubwa. Amekuwa akijikusanyia mali kwa njia ya udanganyifu kwa kugawa viwanja mara mbili mbili na pia kugawa viwanja sehemu ambako hisheria hakustahili kugawa viwanja.

  Mtu huyu ana uhusiano mkubwa sana na EL na ndo master planner wa viwanja vingi anavyomiliki nheshimiwa EL Arusha, Monduli na hata Mbulu.

  Ndugu zangu wa Kinondoni kuweni naye makini sana atawatapeli na kokote mtakako kwenda mtazungushwa tu maana ana mkono wa wakubwa
   
 2. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #2
  Feb 8, 2011
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,755
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Hilu hatoki Wilaya ya Mbulu. Hata kama una chuki binafsi Kafanye utafiti zaidi.
   
 3. Njilembera

  Njilembera JF-Expert Member

  #3
  Feb 8, 2011
  Joined: May 10, 2008
  Messages: 1,424
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Afadhali umemjibu wewe. Huyu ni kinda la juzi na sidhani anaweza akafanya hayo, ACHA CHUKI BINAFSI
   
 4. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #4
  Feb 8, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Anatoka wapi sasa mkuu! Kinondoni????
   
 5. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #5
  Feb 8, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,916
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  Binafsi huwa ninaamini kuwa mara zote nguvu ya mnyanyasaji, kunyanyasa hutoka kwa mnyanyaswaji,,,
  Kama mtu alishawahi kukudhulumu haki yako ukakaa kimya kwa madai kuwa ana mkono wa wakubwa basi usishangae siku nyingine akaja kukunyang'anya haki yako nyingine kwa kuwa tayari anafahamu kwamba hakuna utakalomfanya. Hivyo basi, mkuu, kama una ushaidi na unachokisema tafuta wakili yeyote mpe tenda pamoja na vithibitisho vyote mwambie aingie kazini. Wala huna haja ya kujisumbua, akikubali kuchukua tenda unampa condition kuwa ukishinda kesi unampa 50% ya fidia utakayolipwa, akishindwa basi, unatafuta ustaarabu mwingine.

  Hivi mtu atakunyang'anya vipi haki yako halafu unakaa kimya Bana?
  Kama kuna watu wanamlinda kisheria basi mfanyie kitu mbaya physically, mikuki na manati zipo zimejaa tele, wamachinga wanatembeza kila siku mitaani.
   
 6. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #6
  Feb 8, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,404
  Likes Received: 3,730
  Trophy Points: 280
  Partly YES .......partly NO
   
 7. M

  Mantisa Senior Member

  #7
  Feb 9, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hizi si chuki binafsi, huyu mbona tapeli. Mkuu jaribu kufuatilia hapo Arumeru mpaka wafanyakazi wenzake wamempa hela na viwanja hajawapa mpaka anaondoka na kuna wengine alowapa kawapa mtoni ambako wamekatazwa kujenga. Jamaa huyu in short ni tapeli ba kama wewe unamjua sana mkuu basi humjui in another side of the coin. Jitahidi umjue zaid
   
 8. M

  Mantisa Senior Member

  #8
  Feb 9, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mbulu, karatu, babati kote wanatoka Wambulu. So either of them ila in short ni Mmbulu
   
 9. M

  Mantisa Senior Member

  #9
  Feb 9, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mkuu mimi nina ndugu yangu kabisa aliuziwa kiwanja na huyo jamaa since 2006 mpaka leo sound. Na document zote anazo mpaka building permit. Mara wamwambie sijui kuna kesi mahakamani, mara kiko ndani ya chanzo cha mto. Imagine since 2006 mpaka leo hajajenga. Na si mmoja tu wako wengi. Huyu jaamaa ni kweli amna mkono wa wakubwa na ndo maana wakurugenzi wote wanamshindwaga. Anakujaga job muda anaotaka na hata kama ukienda kwa mkurugenzi kulalamika anakuomba urudi mkamalizane na yeye anakwambia tu nakutafutia kingine. Yaani sound tu


  Jamaa alijaribu kutafuta mawakili akakuta kama wawili walishagawiwa viwanja na huyo jamaa so wanaogopa kumburuza mahakamani. Ila huyu kijana ana document zote kama kuna wakili anayeweza tetea wanyonge wakuu nitawaomba mumsaidie maana keshasubiri sana
   
Loading...