knowledge quench
JF-Expert Member
- Nov 4, 2017
- 227
- 107
Nikiangalia gorofa zinazo jengwa katika maeneo ya watu wenye kipato cha chini na cha kati ni tofauti kabisa na uwezo wa walengwa.
Kariakoo siyo eneo la wachache "Matajiri", ni eneo la watu wa kawaida.
Wajenge gorofa nzuri imara enye viwango sahih, lakini wasifanye apartments zaki fakhari!!!
Tafadhali sana, hivi hawa watu wanao ondoshwa k.Koo namaana hawawezi kurudi tena katika majumba bora na zakisasa kwasababu mipango jiji hawazingatii :-
Maeneo ya ujenzi wa magorofa enye
1)study apartments+1wc+ shower+kitchenette
2)bedsitters +1wc+shower+kitchenette
3)small apartments with a small sitting room small kitchen 1 master b-room and 1 or 2 normal bedrooms + a toilet for all and 1 shower room.
Tuwe makini sana na ujenzi wa gorofa zenye apartments zakifakhari katika maeneo :-
1)kariakoo.
2)ilala.
3)magomeni.
4)kinondoni mosco
5)kinondoni mkwajuni
6)mwananyamala
6)kijitonyama.
7)temeke.
8)tandika
9)mbagala
Hizi ni maeneo ya makazi ya wafanyakazi. Lazima tuzingatie maisha bora kwa watanzania na siyo kwa wachache.
Nchi zilizoendelea nazo pia zina nyumba kwa matabaka ili aslimia kubwa ya wananchi waweze kuhimili gharama za kodi ya pango katika gorofa.
Tunawanyanyasa watu wenye kipato cha chini kwakujenga sehem zote magorofa yaki fakhari.
Ufakhari una eneo zake maalum.
Naomba mkuu wa mkoa wa dsm mhe. Makonda achukue swala hili kwa uzito na priority ktk agenda yake.
Plan ya jiji letu liangaliwe kwa makini, ili watu walio ondoshwa katika majumba ya k.Koo waweze kupanga mini apartments au bedsitter self-contained.
Kwa heshma na tadhima. Ahsanteni
Katika ujenzi wa taifa letu changa.
Mwenye-enzi-mungu-allah-mlezi atubaariki sote sana na tanzania ya viwanda isimame imara. Aamiyn
CONDOMINIUM IS A NECESSITY