NI MCHUNGAJI GANI KWA JINA ALIYETAJWA NA NA 'BODI' YA MH. RC JUU YA UFISADI WA NGONO?

Sakasaka Mao

JF-Expert Member
Sep 29, 2016
10,085
12,096
Wanabodi, jana katika maelezo ya majumuisho ya Rc mkoa wa Dsm, kuna mchungaji mmoja fisadi wa kuzalisha wanafunzi alitajwa kwa jaziba, kwamba asiione oxgen ya kanisa lake leo.
Ni nani huyo kwa jina?
Nimebaki na shauku kutaka kufahamu kwa anayemfahamu kiongozi huyo anayeyaishi yale anayoyalaani na kuyakemea kwa waumini wake kwa mdomo wake.
 
Bashite mshirikina sana huenda mganga wake kamuambia aliamshe dude tena limuongezee umaarufu
 
Back
Top Bottom