Nimekuwa nikufuatilia sana Press za Polisi Dodoma ama kwa hakika huyu Kamanda Gillas Muroto ni burudani tosha kuanzia lafudhi yake mbwembwe za kuwalineup wahalifu lakini kikubwa zaidi ni Slogan...
Habari za usiku
Wanajf wenye mamlaka husika ya barabara ya kuanzia korogwe hadi arusha usiku huu mvua ni kubwa barabara sehemu nyingi hazipitiki mimi nimekwama hapa karibia na hedaru tumeambiwa...
Basi la Kampuni ya Tahmeed limepata ajali leo maeneo ya Tanga na kuua abiria mmoja.
Ikumbukwe wiki iliyopita maeneo ya Kabuku mkoani Tanga, basi la kampuni ya Tahmeed lenye namba za usajili...
Hali sasa si shwali kabisa! Bei ya mafuta inazidi kupanda kila mzigo mpya unapoingia. Tufanyeje ili tuepukana na hali hii vinginevyo vyuma vitakatika kwa sababu hivi sasa viko red hot!!!
Baada ya leo kupanda basi hizo zinazosifiwa sana, nimejionea mapungufu yafuatayo;
1. Hakuna wahudumu wa kike. Wapo wa kiume ambao wana kauli ngumu kwa wateja / abiria
2. Ndani ya basi unapewa...
Dar es Salaam. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limewaonya wale wote wanaojihusisha na utapeli wa ajira jeshini kwamba wataendelea kuchukulia hatua kali zaidi.
Pia, JWTZ imesema...
Nimemsikia mbunge wa Zanzibar viti maalumu CCM, Faidah Mohammed akitoa hoja juu ya ubakaji. Alivyoeleza kama ni janga kubwa sana kitu ambacho si kweli.
Zanzibar ni sehemu yenye ustarabu kuliko...
Ripoti ya uchunguzi yabaini vyama vya ushirika 40 wilayani Tandahimba kuhusika katika kuchanganya mawe na korosho.
Mkuu wa mkoa wa Mtwara Gelasius Byakanwa ameagiza viongozi wa vyama hivyo...
[https://3]
Watu wanne wanashikiliwa na Polisi Ngerengere, Mkoani Morogoro wakituhumiwa kuhusika na wizi wa lita 2510 za mafuta aina ya Dizeli kutoka kambi ya ujenzi wa reli ya kisasa Standard...
Habari za majumu ndugu zangu
Bila shaka umeamka salama
Niende moja kwa moja kwe kitu kilichonifanya niweke Uzi huu hapa
.
Tangu juzi nimekua nikipokea simu kutoka ,mkoa wa kagera wilaya ya...
Wakuu,
Leo naomba tujikumbushe maisha ni kipi mnachokumbuka enzi ya Rais mtanashati, mwelewa na mtoto wa mjini ambapo kupata frem Kariakoo ilikua kazi sana tofauti na leo frem za Kariakoo...
Mwenyekiti wa UVCCM Kheri James amefunguka na kuwazungumzia Jokate na Wema Sepetu katika umoja huo wa vijana wa CCM.
Akizungumza katika kipindi cha kikaangoni live kinachorushwa na EATV...
Taarifa zinazosambaa kwa kasi kwenye Mitandao ya kijamii ni kuhusu taarifa za ajali mbaya sana ya basi tajwa linalofanya safari zake kati ya Dar na Karagwe Kagera.
RPC Tabora amesema ajali ni...
Nmeingia kwe kasherehe ka ndugu yangu nikaacha kamkweche kangu nje parking ya ukumbi mbali na Barabara.
Wamekuja vijana wa TANROAD hawasikii la muadhini wala nini, wanasema nimepaki kwenye...
Wachawi wakuchukua unyayo wa ulipo kanyaga, Basi wanachukua maisha yako yote yaliyobaki na watayachezea kadiri watakavyo.
Hapo unapo pamiliki ulipakanyanga Kwanza ndipo ukapamiliki.
Polisi hupiga...
Dar es Salaam. Kutokana na kutokidhi masharti ya mfumo wa malipo serikalini (GePG), Vodacom imesitisha huduma za malipo ya Luku kwa wateja wake wa M-Pesa.
Mkurugenzi wa mawasiliano wa Vodacom...
Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Plc inapenda kuwataarifu wateja wake na Watanzania kwa ujumla kwamba, itaendelea kutoa huduma ya ununuzi wa umeme (LUKU) kupitia mfumo wa malipo wa...
Naomba soma Swali kwa umakini wote kisha utulize sana akili yako ndipo ulijibu kwani huenda jibu lako utakalotoa likakufanya uonekane una IQ nzuri au mbaya na pia kama Wewe una Roho nzuri au una...
Nataka kujua kwamba ni kweli kulitokea hii mvua ya samaki nchini Thailand.
Tatizo langu, je ni kweli limetokea na kama ni kweli kivipi?
Msaada hapo wanasayansi.