Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Frankly speaking wa kenya wanadharau sana na Tanzania the way they talk abt us wanatudogosha sana they have no respect to us Halafu pia wana wivu ma maendeo ya Tanzania. Ingekuwa nimeshika...
7 Reactions
71 Replies
764 Views
Ngoja nimpe hifadhi tu jamani. Soma pia: https://www.jamiiforums.com/threads/njiwa-kaingia-nyumbani-na-wala-haoneshi-dalali-ya-machachari-na-wala-hataki-kuondoka.2318538/...
2 Reactions
15 Replies
651 Views
akazi wa maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam na Mkoa wa Pwani wanatarajiwa kukumbwa na ukosefu wa huduma ya maji kwa wastani wa saa 10 kesho Jumapili, Mei 10, 2026, kufuatia matengenezo kinga ya...
1 Reactions
1 Replies
148 Views
Na Mwandishi Wetu Njombe. CRDB Bank Plc imeendelea kuonesha dhamira yake ya kuunga mkono wafanyakazi na maendeleo ya taifa kwa kudhamini na kushiriki kikamilifu maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi...
1 Reactions
1 Replies
144 Views
Kukata chain ya umasikini kwenye familia za kiafrica inahitajika nguvu ya Ziada. #first born hakikisheni mnajitahidi kukata chain ya umasikini kwa namna yoyote ile.
20 Reactions
69 Replies
1K Views
Anonymous (2cd6)
Leo Nimeshangaa Sana Nilipofika Stendi Tajwa Baadaya Mgeni Wangu Kumkatia Ticket Ya Basi Kuelekea Nyanda Za Juu Kusini. Nilipofika Mgeni Aingie Stendi Naambiwa Pamoja Na Kukata Ticket Hawezi...
10 Reactions
29 Replies
614 Views
Shirika la Dawa Asilia na Ulinzi wa Mazingira Tanzania (TRAMEPRO) linaungana na Watanzania wote leo tarehe 08 Mei katika kumbukizi muhimu ya kuzaliwa kwa Hayati Ali Hassan Mwinyi Rais wa awamu ya...
2 Reactions
3 Replies
136 Views
Jana nimecheka sana, nikiwa katika kijiwe kimoja hivi katika mikoa ya kusini, wanazuoni (wao hujiita wanachuoni) wa dini ya kiislamu wakiongozwa na wahitimu wawili kutoka chuo cha MUM walikuwa...
5 Reactions
9 Replies
332 Views
Nimeulizwa pahala, eti Hussein kwani Kanali anakuwa na nyota ngapi?😂. Nadhani ni kutokana na tarehe (historia) ya Kanali Mahfoudh niliyowahi kuitoa siku ya kumbukumbu za kifo cha Sheikh Abeid Aman...
3 Reactions
2 Replies
209 Views
Habari za uzima wakuu, poleni na majukumu Soko limenyooka ni classic sana baada ya miaka kadha litakuwa soko lenye upinzani sana. Wakuu tuambizane ukweli sisi kama Tanzania tuna chetu pale?
6 Reactions
20 Replies
526 Views
Huu ugonjwa mpya wa virusi vya panya Hanta Virus baada ya wiki itaondoka na wengi. Abiria wa KLM inasemekana wengi wanayo na KLM kila siku inatua Kilimanjaro na Dar. Asee tumekwisha. Niko zangu...
12 Reactions
34 Replies
837 Views
Habari za majukumu wapambanaji wenzangu, Leo tukumbushane kidogo kwasababu kuna mambo yanaendelea kwa upande wa wanaume, na mengine nimeyashuhudia kwa macho yangu leo naomba niongee yafuatayo; 1...
25 Reactions
56 Replies
1K Views
Miaka kadhaa iliyopita taklibani miaka mitatu , katika moja ya maeneo ya kanda za kusini, kulikuwa na familia iliyotazamwa na wengi kama familia ya mfano mume na mke waliishi pamoja na watoto wao...
7 Reactions
21 Replies
1K Views
Wakuu, Sheikh Sharifu Majini amezikwa leo katika makaburi ya Kisutu baada ya kupigwa Risasi Oktoba 29, 2025. === "Na kwa maisha ya Msopa hatusiti kusema amekufa shahid(akipigania dini) kwa...
1 Reactions
30 Replies
1K Views
Miaka ya 90 mwishoni na 2000 mwanzoni ilikuwa ni golden age ya filamu za nollywood haswa zile za kichawi. At last, vitumbwi vya maisha ya Kiafrika vilikuwa televised kupelekea watu kuguswa na...
17 Reactions
43 Replies
4K Views
Mwamba aliazaliwa Machi 14 mwaka 1974 ni Mtanzania aliyekuwa na kesi ya kushiriki kwenye tukio la kigaidi la al-Qaeda aliyehukumiwa kwa jukumu lake kubwa katika ulipuaji wa balozi nchini Kenya na...
5 Reactions
8 Replies
673 Views
kurekodiwa, huenda ukiwa umechochewa na mabadiliko ya tabia nchi, wanasayansi wanasema. Alionekana katika bahari ya pasifiki karibu na Colombia mwaka 2017, kisha kuzuka tena miaka kadhaa baadaye...
5 Reactions
24 Replies
590 Views
Mtengeneza Maudhui Mtandao Maarufu kama Tonie Professor Akumbwa na Ugonjwa Usio Julikana Kwa Kutokwa na Usaha Kichwani Akidai kupata Maumivu Makali , Huku Akisema Yeye alikuwa anatumia Pombe...
7 Reactions
84 Replies
2K Views
Wakuu, ilikuwa ni jumanne, siku ambayo ilikuwa ni njema sana kwangu, niliamka,nikajiandaa kwenda kazini vizuri kabisa, nikafanya kazi mpaka jioni nikarudi home kupumzika, nikalala, ilipofika...
11 Reactions
43 Replies
632 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…