Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Huwezi acha tabia kama hujapata tabia mbadala. Kitendo cha kuamua kuacha kufanya jambo fulani ujue kuna jambo lingine unalifanya. Ukiona unashindwa kuacha tabia fulani ujue hujapata...
3 Reactions
10 Replies
3K Views
Mchezaji mahiri wa tenisi ya mezani kutoka Tanzania Fathiya Pazi ametoweka kutoka kambi ya timu hiyo ya michezo ya jumuia ya madola iliyokamilka huko Goldcoast Australia. BBC WACHEZAJI wa...
0 Reactions
39 Replies
6K Views
Salute Comrades.. Wakuu Wayahudi tangu walipodai watawaliwe na wafalme ukirejea 1sam 8:1-9,Mungu aliruhusu wafalme wawatawale wakianzia na Saul, Daud na baadaye Sulemani.Hawa wote walianza kazi...
4 Reactions
25 Replies
6K Views
Utata umeibuka baada ya sister wa Kanisa Katoliki huko Italy aliyekuwa akilalamikia maumivu ya tumbo na kukimbizwa Hospitali na kujifungua mtoto wa kiume licha ya kuishi katika Jumuiya hiyo ya...
7 Reactions
160 Replies
38K Views
Wakuu habari Iko hivi jamani... SUMATRA wana tabia kipindi hiki barabara ya Jangwani ikijaa maji wanaita coaster za kawaida zibebe abiria kwa nauli ya elfu moja kuanzia Mbezi hadi Kariakoo...
11 Reactions
45 Replies
5K Views
TAHADHARI KWETU, KWA WAHUSIKA WA MIUNDO MBINU... 19 hours Ago Mvua za masika kuanza mwezi Machi TMA yasema maeneo mengi yatanufaika na mvua hizo kutokana na hali ilivyothibitika katika maeneo...
1 Reactions
12 Replies
6K Views
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Tarime Mjini, Hamisi Nyanswi (CHADEMA), usiku wa kuamkia jana majira ya saa 10 usiku alifumaniwa na kupata kipigo kikali, hali yake sio nzuri na amelazwa katika...
2 Reactions
36 Replies
6K Views
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imewataka wananchi kuendelea kuchukua tahadhari ya mvua inayoendelea kunyesha ili kuepuka majanga. Akizungumza na MCL Digital leo Aprili 16, 2018...
2 Reactions
9 Replies
4K Views
Kutokana na Matengenezo ya Miundombinu kati ya Stesheni ya Morogoro na Kingolwira, tunapenda kuwatangazia kuwa treni ya abiria kwenda bara itaondoka leo Tarehe 16/04/2018 Saa Tano kamili...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Moja kwa moja niende kwenye ushauri CC RC MAKONDA Tumia ushawishi wako, yachimbwe mabwawa makubwa kule kisarawe na Mbezi ambako ndio chimbuko la maji mengi yanayotiririkia jijini mwako. Haya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Zaidi ya nyumba 120 zimeharibika vibaya katika maeneo mbalimbali ya Zanzibar kufuatia mvua kubwa iliyonyesha kwa muda wa siku mbili mfululizo. Kaimu Mkurugenzi Kamisheni ya Kukabiliana na Maafa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
By Billy Ryan - Of all the world’s religions, Catholicism has traditionally had the healthiest relationship with alcohol. We are not excessively Puritanical in shunning drink, nor are we cultists...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naanza na hili 1.je dunia hii tunayoishi ina mwanzo wake na mwisho??????je mwisho wake ni wapi na mwanzo wake ni wapi?maana kama tukienda kusini katufiki mwisho..na tukienda kaskazin hatutafika...
1 Reactions
49 Replies
12K Views
Wakimbizi waliobainika kutoka nchini Ethiopia wamekamatwa usiku wa kuamkia jana Aprili 15, 2018 saa 9.00 usiku wakiwa wamehifadhiwa katika nyumba mojawapo iliyopo Kata ya Goba, jijini Dar es...
3 Reactions
130 Replies
15K Views
Wapelelezi wanaweza kuwa ni kikundi cha watu au mtu mmoja mwenye akili na maarifa na wana aminiwa na kutumiwa na Taifa, Serikali, Makampuni au Shirika lolote ili kufuatilia na kuchunguza Leo ndio...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Haya ni maswali mara nyingi yanamfaa shemeji yangu mshana jr. Kifupi mfuo kwa wale wasioelewa ni chumba ambacho hutumika kuoshea maiti,huchimbwa shimo ndani ya chumba,kwa watu wa vijijini bado...
1 Reactions
55 Replies
6K Views
Nimekuwa nikitafakari suala hili lakini bado nakosa majibu. Kwa nini vijana wengi toka Ethiopia wanakimbilia Afrika Kusini ili hali Ethiopia ina kila kitu. Nchi ya Ethiopia ina sifa zifuatazo:-...
6 Reactions
41 Replies
7K Views
Ni utaratibu wa Jeshi la Polisi kumuita mtu ambaye lina shaka kuwa amevunja sheria na kufanya naye mahojiano na baadaye kuchukua maelezo yake kama linaona kuna haja ya kuendelea na hatua nyingine...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naomba wenye taarifa ya ile sheria ya umri wa kustaafu madakitari bingwa kwa lazima i.e. miaka 65 wanijuze kama sheria hiyo imeishaanza kutumika au ni lini inategemewa kuanza kutumika...
1 Reactions
1 Replies
878 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…