TAHADHARI :- Mvua za masika kuanza mwezi Machi

majebsmafuru

JF-Expert Member
May 1, 2017
453
628
TAHADHARI KWETU, KWA WAHUSIKA WA MIUNDO MBINU...

19 hours Ago

Mvua za masika kuanza mwezi Machi
TMA yasema maeneo mengi yatanufaika na mvua hizo kutokana na hali ilivyothibitika katika maeneo hayo

Kwa ufupi

Herieth Makwetta na Mwafatma Hamisi, Mwananchi hmakweta@mwananchi.co.tz

Dar es Salaam. Mvua za wastani mpaka juu ya wastani zinatarajiwa kuanza kunyesha katika kipindi cha wiki ya kwanza ya mwezi Machi hadi Mei mwaka huu katika maeneo mengi hapa nchini.

Hayo yameelezwa leo Februari 15, 2018 na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk Agnes Kijazi alipokuwa akizungumza na vyombo vya habari kuhusu mwelekeo wa mvua katika kipindi cha msimu wa masika.

Amesema zinatarajia kuleta athari katika sekta mbalimbali kutokana na vipindi vifupi vya mvua kubwa vinavyoweza kusababisha mafuriko

Dk Kijazi ametoa ushauri kwa sekta mbalimbali kuchukua tahadhari na kujiandaa ili kutumia vyema utabiri huo hasa menejimenti za maafa.

Amesema ukanda wa Pwani ya Kaskazini ikiwemo mikoa ya Dar es Salaam, Tanga, Pwani, visiwa vya Unguja na Pemba pamoja na Kaskazini mwa Mkoa wa Morogoro mvua zinatarajiwa kuanza wiki ya kwanza ya Machi.

“Mvua hizi zinatarajiwa kuwa za wastani hadi juu ya wastani katika maeneo hayo na Kusini mwa Mkoa wa Tanga, maeneo yaliyosalia yaliyo Kaskazini mwa Mkoa wa Tanzania yanatarajiwa kupata mvua za chini ya wastani,” amesema Dk Kijazi.

Aidha, Dk Kijazi ameshauri wananchi kutumia kipindi hiki kuhakikisha wanafanya kilimo na usalama wa chakula, mifugo na wanayamapori.

MWANANCHI Mvua za masika kuanza mwezi Machi
 
Kwetu Dar Manispaa na Makonda sijuwi watachukuwa tahadhari gani?!
Hakuna cha kuomba Mungu wala nini, ni sisi wenyewe kuchukuwa tahadhari, wahusika wahusike tafadhali...
 
Tumekuwa omba omba mno acha tupate kinachotustahili
 
TAHADHARI KWETU, KWA WAHUSIKA WA MIUNDO MBINU...

19 hours Ago

Mvua za masika kuanza mwezi Machi
TMA yasema maeneo mengi yatanufaika na mvua hizo kutokana na hali ilivyothibitika katika maeneo hayo

Kwa ufupi
TMA yasema maeneo mengi yatanufaika na mvua hizo kutokana na hali ilivyothibitika katika maeneo hayo

Herieth Makwetta na Mwafatma Hamisi, Mwananchi hmakweta@mwananchi.co.tz

Dar es Salaam. Mvua za wastani mpaka juu ya wastani zinatarajiwa kuanza kunyesha katika kipindi cha wiki ya kwanza ya mwezi Machi hadi Mei mwaka huu katika maeneo mengi hapa nchini.

Hayo yameelezwa leo Februari 15, 2018 na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk Agnes Kijazi alipokuwa akizungumza na vyombo vya habari kuhusu mwelekeo wa mvua katika kipindi cha msimu wa masika.

Amesema zinatarajia kuleta athari katika sekta mbalimbali kutokana na vipindi vifupi vya mvua kubwa vinavyoweza kusababisha mafuriko

Dk Kijazi ametoa ushauri kwa sekta mbalimbali kuchukua tahadhari na kujiandaa ili kutumia vyema utabiri huo hasa menejimenti za maafa.

Amesema ukanda wa Pwani ya Kaskazini ikiwemo mikoa ya Dar es Salaam, Tanga, Pwani, visiwa vya Unguja na Pemba pamoja na Kaskazini mwa Mkoa wa Morogoro mvua zinatarajiwa kuanza wiki ya kwanza ya Machi.

“Mvua hizi zinatarajiwa kuwa za wastani hadi juu ya wastani katika maeneo hayo na Kusini mwa Mkoa wa Tanga, maeneo yaliyosalia yaliyo Kaskazini mwa Mkoa wa Tanzania yanatarajiwa kupata mvua za chini ya wastani,” amesema Dk Kijazi.

Aidha, Dk Kijazi ameshauri wananchi kutumia kipindi hiki kuhakikisha wanafanya kilimo na usalama wa chakula, mifugo na wanayamapori.

MWANANCHI Mvua za masika kuanza mwezi Machi
Ngoja safari hii nitafute mwamvuli na koti la mvua mapema kabla bei hazijapanda.
 
Bado hautakuwa kamili boss, inabidi utengeneze list mkuu:-
  • Boti ndogo, ya kukutoa hapa mpaka pale..
  • Gum Boots/Wellington ndefu mpaka kifuani..
  • Anza mazoezi ya kutembea, sababu gari zitakuwa hazitembei, daladala kukatisha ruti, bei juu kwa boda na bajaj..
  • Fursa nzuri kama una Baiskeli, waweza tengeneza kipato sana mkuu, hata mkokoteni watosha kukupa hela ya siku..
  • Ziba ziba paa lako, weka mireji ya hapa na pale kwenye boma, ikiwezekana tengeneza kisima uvune maji ya kufa mtu..
  • Tayarisha nguo za plastics kujifunika, au nyepesi za kukauka mapema..
  • Wakati mzuri wa kuwa na bustani ya mboga boss..au kupanda miti ya kivuli kwenye boma mkuu..
  • Yale mablanketi sijuwi uliyaweka wapi, ebu yafukuwe kule yalipo, yafuliwe tayari kwa kujifunika usiku..
  • Sahau kupitia njia ya Jangwani, anza kupanga ruti zingine zisizo na matatizo..
  • Punguza trips za kikazi au kibiashara kwa kipindi hiki kigumu..
  • Waweza pata Mask? Ndio ufunike pua kama utapita mitaa ya Sinza, Kijitonyama, Tandale, Manzese, Mbezi Beach, Mikocheni au Msasani..(Unajuwa kwanini)!
  • Kama una watoto basi nawo anza kuwaandaa kisaikolojia, maji yatajaa hovyo hovyo kila sehemu, mvua zisioisha na kutokutabirika..
  • Kama umebarikiwa kamkweche basi, wasaa wa kuweka wipers mpya, AC, Heater je kwenye gari ya kukausha nguo, na namba ya fundi magari anayemuamini..
  • Tegemea mambo kutokwenda kwa wakati, miadi kutokutimizwa na hali mbaya kifedha...
  • Ghafla viongozi kama kina Makonda na Jeshi, kutokea kwenye vyombo vya habari, picha nyingi na speech, katika kushuhudia madhara ya mvua, kuhimiza kusafisha mitaro, kutoa mchele, maharage na mafuta kwa waathiriwa, kumbuka hata yatafanyika baada ya mvua na siyo kabla!
  • Kukumbushana tena umuhimu wa kulinda mitaro, mifereji na kutokujenga sehemu hatarishi, haya nayo yatasemwa baada ya maafa..
  • ....
  • ...
Endelea na wewe..
 
Bado hautakuwa kamili boss, inabidi utengeneze list mkuu:-
  • Boti ndogo, ya kukutoa hapa mpaka pale..
  • Gum Boots/Wellington ndefu mpaka kifuani..
  • Anza mazoezi ya kutembea, sababu gari zitakuwa hazitembei, daladala kukatisha ruti, bei juu ka boda na bajaj..
  • Fursa nzuri kama Baiskeli, waweza tengeneza kipato sana mkuu, hata mkokoteni watosha kukupa hela ya siku..
  • Ziba ziba paa lako, weka mireji ya hapa na pale kwenye boma, ikiwezekana tengeneza kisima uvune maji ya kufa mtu..
  • Tayarisha nguo za plastics kujifunika, au nyepesi za kukauka mapema..
  • Wakati mzuri wa kuwa na bustani ya mboga boss..au kupanda miti ya kivuli kwenye boma mkuu..
  • Yale mablanketi sijuwi uliyaweka wapi, ebu yafukuwe kule yalipo, yafuliwe tayari kwa kujifunika usiku..
  • Sahau kupitia njia ya Jangwani, anza kupanga ruti zingine zisizo na matatizo..
  • Punguza trips za kikazi au kibiashara kwa kipindi hiki kigumu..
  • Waweza pata Mask? Ndio ufunike pua kama utapita mitaa ya Sinza, Mbezi Beach, Mikocheni au Msasani..(Unajuwa kwanini)!
  • Kama una watoto basi nawo anza kuwaandaa kisaikolojia, maji yatajaa hovyo hovyo kila sehemu, mvua zisioisha na kutokutabirika..
  • Kama umebarikiwa kamkweche basi, wasaa wa kuweka wipers mpya, AC, Heater je kwenye gari ya kukausha nguo, na namba ya fundi magari anayemuamini..
  • Tegemea mambo kutokwenda kwa wakati, miadi kutokutimizwa na hali mbaya kifedha...
  • Ghafla viongozi kama kina Makonda na Jeshi, kutokea kwenye vyombo vya habari, picha nyingi na speech, katika kushuhudia madhara ya mvua, kuhimiza kusafisha mitaro, kutoa mchele, maharage na mafuta kwa waathiriwa, kumbuka hata yatafanyika baada ya mvua na siyo kabla!
  • Kukumbushana tena umuhimu wa kulinda mitaro, mifereji na kutokujenga sehemu hatarishi, haya nayo yatasemwa baada ya maafa..
  • ....
  • ...
Endelea na wewe..
Duh!
 
Natumaini raia mmepona kwa gharika hili...
More havoc as rains pound Dar once again
ippmedia.com/en/news/more-havoc-rains-pound-dar-once-again
March 14, 2018
14Mar 2018

The Guardian Reporter

News
The Guardian

More havoc as rains pound Dar once again

RAINS continue to hit the city of Dar es Salaam and neighbouring regions making its roads impassable especially for motorists each time it pounds.

VjdgmG

Director General of Tanzania Meteorological Agency (TMA) Dr Agness Kijazi

Dar es Salaam city dwellers and motorists are now used to the rains, that when it starts, people normally leave their workplaces early to avoid caught in traffic jam for longer hours.

On Tuesday morning there was a downpour causing a heavy traffic jam, according to a survey carried out by this paper in various parts of the country’s district business city.

The havoc that started at around 04:00 hours in the city and the outskirts as far as Chanika, Pugu Kajiungeni, Mbezi-Kimara, and Bunju to Bagamoyo all roads had long traffic jam.

Whenever it rains people normally experience late reporting to work due to the traffic jam. A short distance of about 5 minutes at normal hours could take almost three hours when it rains in Dar es Salaam.

There are reports in other cities like Tanga where bridges have been swept away, infrastructures damaged and electric poles collapsed.

Director General of Tanzania Meteorological Agency (TMA) Dr Agness Kijazi warned that the heavy rains are set to continue.

ENDS
 
Back
Top Bottom