Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 17,306
- 19,880
Huwezi acha tabia kama hujapata tabia mbadala.
Kitendo cha kuamua kuacha kufanya jambo fulani ujue kuna jambo lingine unalifanya.
Ukiona unashindwa kuacha tabia fulani ujue hujapata replacement.
Ni rahisi kwenda kwenye sayari ya jupiter kuliko kutafuta tabia ili ubadilishe tabia ingine.
Ukiacha tabia bila kutafuta kitu mbadala kujazilizia ile sehemu ya ubongo iliowazi....ile tabia ya zamani inarudi ktk ubongo wako.