Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

WanaIT wa kiafrika wakajikuta Silcon Valley. Coet,DIT,MUST wakajikuta wako MIT. wanafunzi wa biashara na sheria wakajikita wako HaVard, Oxford etc kiongozi akajikuta White house na Trump akajikuta...
5 Reactions
48 Replies
3K Views
Habari zenu ndugu, Mpaka sasa inapita mwezi mmoja na wiki kadhaa ila vibali hakuna ingawa kuna kwa baadhi ya halmashauri wamepata. Kwa wale ambao bado tufanyaje mana kwangu mimi nilipata...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana JF, Katika pita pita zangu kwenye vyombo vya habari nimepata taarifa kwamba serikali imekwishaanza na inaendelea kukarabati shule zake kongwe. Hizi shule kongwe ikiwa pamoja na...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu, Nimeamini dawa ya kuepuka stress na mawazo ni kutoa yale yaliyo moyoni. Kusema kweli hawa wazee wanaofanya kazi ya kuuza duka la mikate ya Azam hapa kituo cha Manzese maarufu...
0 Reactions
1 Replies
835 Views
Habari wadau wa jf na wote mnaopita humu kupata habari; kama heading ilivyo hapo juu ninaushahidi ambao nitauambanisha hapa kudhihilisha kwamba kampuni ya vodacom tanzania inawaibia muda wa hewani...
11 Reactions
51 Replies
7K Views
Wakuu Habarini za wakati huu kama kichwa kinavyojieleza ninaomba msaada kwa anaefahamu namna ya kuandaa mapendekezo ya miradi na jinsi ya kutafuta wahisani wa miradi hiyo ninaomba kupewa elimu...
0 Reactions
1 Replies
900 Views
Bila shaka,haya ni majina yaliyozoeleka karibu kwenye kila Forum ndani ya JF. Kwa kanuni za sheria za mawasiliano kwenye blogs na mitandao kama JF,ili uweze kuandika thread au comment,shurti...
10 Reactions
169 Replies
13K Views
Mara nyingi nimekuwa nikifatilia juu ya bidhaa kutoka nje lakini pia na ubora wake pamoja na bei zake kulinganisha na bidhaa za ndani Sambamba na hilo pia nimefatilia namna serikali inavyotetea...
0 Reactions
6 Replies
920 Views
Mtakumbuka wazo la uchunguzi wa tezi dume nyumba kwa nyumba Dar lilivyotolewa.Tumeona kwenye chanjo ya kuzuia saratani ya mlango wa kizazi wakiitwa wanasiasa kufanya demo. Ninaomba sana wanasiasa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Naomba msaada kwa anaejua kuandaa menu za chakula kwa lugha ya kichina na kirusi
0 Reactions
1 Replies
2K Views
TBC wana matangazo mengine badala ya kurusha Bunge live. Kuna shida gani?
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Watu wengi waliokwenda kujiandikisha Kitambulisho cha uraia huku Moshi Vijijini Kata Ya Kibosho Kati wamerudi baada ya kuambiwa kama hawana vyeti vya kuzaliwa walipe shs 5,000/= hakimu ili waape!
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Mwili wa profesa nguli wa sheria za ubia Luitfred Mbunda aliyefariki juzi mkoani Dodoma umeagwa jana mkoani Dodoma katika ukumbi wa Chimwaga (udom). Leo utawasili Dar es salaam kwa ajili ya...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Mimi sio mtaalam sana kwenye mambo ya mawasiliano. Naomba kufahamishwa, je mitandao ya simu hurekodi kila simu ya mteja wao na mawasiliano mengine? Na kama inarekodi, inayahifadhi kwa muda...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
America kuna kitongoji kinaitwa Thomasville , katika mji wa Georgia .Mji huu una nyoka wengi sana , mpaka wakapaita " The centre of america snake belt " , yaani nyoka wapo kila mahali . Kwa...
13 Reactions
26 Replies
6K Views
Watanzania tujifunze kulipa kodi.Maendeleo yatakuja zaidi kama tutakua na adabu.kuendela kujenga highways naiomba serekali itozeshe kodi ili ipate pesa za kuendelea kufanya kazi nyingine.hakuna...
1 Reactions
2 Replies
686 Views
“MIMI NI KIONGOZI WA WANYONGE” Hivi tunaposema mtu mnyonge tunamaanisha mtu wa kipato gani labda? Hivi kuna poverty line Tanzania, na ni shilingi ngapi kwa mwezi? Au tukisema ni ambae hana...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
SHETANI ni kiumbe ambaye alikuwa Malaika na akiishi Mbinguni siku zile kabla hajaFanya uasi. Mwenyezi Mungu alimpenda na kumpatia nguvu na uwezo mwingi na kumfanya Malaika Pendwa huko mbinguni...
4 Reactions
39 Replies
12K Views
Naomba kuuliza kuhusu hii habari ya chanjo kuhusu Saratani ya kizazi.Hivi Africa ndio sehemu ya majaribio au Ulaya ilisha fanyika? Kama ilifanyika je matokeo yalikuwa je? Mbona sikuwahi kusikia...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
BARA la Afrika ndilo linalosifisika kuwa na wanyama wengi wakubwa kwa wadogo kuliko lingine lolote lile duniani kwa sasa. Lakini miaka 13,000 iliyopita Bara la Amerika ya Kaskazini lilikuwa na...
0 Reactions
16 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…