katika tafiti zangu za hapa na pale nimegundua zaidi ya asilimia 68% ya manensi huwa uishia kuzalishwa na na kuendeleza maisha yao bila ya mwanaume adi uzeeni.bila ya ndoa au kushi na...
Duniani kuna vitu vya hovyo sana. Tanzania ni nchi maskini sana. Ni nchi ya wakulima na watu ambao wote ni watu maskini!
Unakuta mtu wa kawaida sana ana simu nne na kila simu ina line yake...
Habari zenu wana jamvi,
Nataka kuhakiki vyeti kwa ajili ya mwanafunzi anayetaka kufanya application ya mkopo HESLB, kuna baadhi ya vitu nimeshindwa kuvielewa, naomba mwenye uwelewa anieleweshe...
Nipo Bukoba, ninachoshangaa sana ni wingi wa wanyarwanda na waganda. Hivi sasa maduka makubwa mjini hapa ni ya wanyarwanda. Sasa maduka ya maziwa ni mengi sana na wamiliki ni wanyarwanda. Kila...
kwanza tunakupongeza kwa namna ulivyoanza vema kushughurikia swala mauaji ya kijana saimon mapunda (24)yaliyotokea jana kwenye kituo cha polisi mtera,hakukuwa na ulazima wowote askari mwita...
Katika toleo lililopita tuliona jinsi ambavyo abiria wanapoteza muda mwingi kituoni na kwenye daladala jijini Dar es Salaam kutokana na foleni. Endelea…
Uchunguzi wa gazeti hili, umebaini...
Wapendwa usiku wa kuamkia Jumapili ya tarehe 06.10.2013 bweni la shule ya sekondari ya AHMES linalotumiwa na wanafunzi wasichana liliungua moto, majira ya saa mbili usiku bweni lote liliteketea na...
Dar es Salaam. Baada ya mkurugenzi wa kampuni ya Tiptop Connection Limited, Hamis Shaaban Taletale maarufu kwa jina la Babu Tale, kukaa mahabusu katika kituo cha Polisi akisubiri amri ya kupelekwa...
Siku kama kumi zilizopita nilikuwa napata chakula cha mchana katika restaurant moja huko Boko nje kidogo ya jiji la Dar. Kwenye meza niliyokaa alikuwepo pia jamaa mmoja aliyenikuta hapo na tukawa...
Leo kiongozi wetu wa kitaifa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amealikwa kuwa mgeni rasmi katika mashindano ya kimataifa ya kuhifadhi kitabu kitukufu cha Quran yaliyopangwa kufanyika katika uwanja wa...
Hivi alikuwa wapi Siku zote kuwa mpole kama ambavyo alivyo sasa? Akiendelea hivi anaweza kutusahaulisha ' maudhi ' yake yote na tukajikuta tunampenda na hata kumkabidhi Wake na Watoto zetu...
Habari;
Ili nchi itawalike lazima kuwepo na majeshi;
Jeshi la polisi ndiyo lililopewa dhamana ya kurinda RAIA NA MALI ZAO;
Pamoja na idadi ya askari wetu waliopo, kuna changamoto kubwa sana ya...
Mimi ni muhanga na mnufaika wa mkopo wa elimu ya juu (HESLB) kama mdhamini wangu wakati nasoma Chuo Kikuu. Sasa deni ninalodaiwa na Bodi plus faini ni TZS 14 Milion. Ni hela ndefu sana hii.
Sasa...
Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Mary Miyombo (32), mkazi wa Kata ya Hombolo, Bwawani mkoani Dodoma amenusurika kufa baada ya kukatwa koromeo na mumewe wake akiyejulikana kwa jina la...
Binti huyu mwenye umri wa miaka 19 alikuja mjini akiwa na miaka 15. Ni baada ya mama aliyemleta kumchukua kutoka kwa bibi yake ambae ndiye ndugu pekee aliyekuwa amesalia.
Wazazi wa binti huyu...
Mwanafunzi wa mwaka wa tatu wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (Duce), Emijidius Cornel ameulalamikia uongozi wa chuo hicho kumpeleka Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) ambako...
Mwanzo nilijiuliza sana jinsi mjusi anavyokimbia darini (kichwa chini miguu juu) ili hali kuna gravitation force ila sikupata jibu!
Sasa leo nimeshangaa kumuona mbwa akimkimbiza paka kwa speed...
Nauliza hivi ni Tanzania pekee duniani ndio magari ya kifahari huwashwa taa mchana au na nchi zingine zina utaratibu huo?je ni kwanini watz wanapenda kuwasha taa mchana magari yao ya kifahari ?