Swali kwa wenye magari ya kifahari

Swali kwa wenye magari ya kifahari

falcon mombasa

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
9,230
Reaction score
9,359
Nauliza hivi ni Tanzania pekee duniani ndio magari ya kifahari huwashwa taa mchana au na nchi zingine zina utaratibu huo?je ni kwanini watz wanapenda kuwasha taa mchana magari yao ya kifahari ?
 
M
Nauliza hivi ni Tanzania pekee duniani ndio magari ya kifahari huwashwa taa mchana au na nchi zingine zina utaratibu huo?je ni kwanini watz wanapenda kuwasha taa mchana magari yao ya kifahari ?

Mkuu zile Taa zinawaka zenyewe Automatic wala dereva hawezi kuzizima. Wanaita Daytime running Light. Ata kwenye Honda hizi za kisasa pia zipo. Ukiona hizi honda CLICK taa zinawaka ujue ni zenyewe . Kwa ufupi dunia ya sasa taa za vyombo ni muda wote
 
Screenshot_20180527-222247.png
 
M


Mkuu zile Taa zinawaka zenyewe Automatic wala dereva hawezi kuzizima. Wanaita Daytime running Light. Ata kwenye Honda hizi za kisasa pia zipo. Ukiona hizi honda CLICK taa zinawaka ujue ni zenyewe . Kwa ufupi dunia ya sasa taa za vyombo ni muda wote
asante kwa maelezo mazuri swali langu hizo taa ni kwa tz tupu? maana nchi zingine ni kawaida tu. sasa unakuta mtu kawasha tu kawaida ndio point yangu ilipo na wala sio kuhusisha daylight
 
Nadhan VW Amarock wanahusika hapa!!
ila zina mwonekano mzuri
 
Ni rahisi sana kulibaini gari linaloendeshwa likiwa limewashwa taa wakati wa mchana na hasa kama liko kwenye mwendo kasi, hii husababisha mtu kuchua tahadhari mapema zaidi ili kujihami. Baadhi ya nchi zina sheria zinazomtaka dereva kuwasha taa muda wote ziwapo barabarani,nchi kama Sweden ni lazima uwashe taa, sasa kama gari la namna hiyo likiingizwa hapa kwetu kama ni mtumba inakupasa wewe mmiliki ukalirekebishe ili liendane na sheria zetu za barabarani.
 
Back
Top Bottom