Hawa vijana wamejawa na matusi, sasa imepelekea anabelle kubadirisha jina la kuomba kufanyiwa mapenzi. Hii yote ni kutokana na mentallity ya matusi waliyonayo.
Mimi naona ni ishu ya afya ya...
Buraq Mnyama wa ajabu wa Kislamu
Huyo mnyama wa ajabu mwenye kichwa cha mwanamke katika picha hizo anadaiwa na Waislam kuwa ni mnyama mtukufu wa mbinguni, anaitwa Burak. Picha zake zimepambwa...
Kudadadeki nawaomba Wamarekani, Waisraeli na Wairani washikilie hapo hapo hadi tuheshimiane hasa Jijini Dar es Salaam.
Si mlikuwa mkiwacheka Watu wa kawaida wakipanda Daladala huku mkiwaona...
Kipindi vita vya iran vinaanza tulishangilia sana, niliamini, sisi hatuhusiki, kumbe ukiona mwenzako ananyolewa zako tia maji.
Ona sasa achana na bei ya mafuta kupanda, Kuna hii timua timua...
Wakati nawaambia kuhusu watu kuwa ni akina annabelle mkasema Chizi Maarifa wewe ni mkorofi unawachukia tu rainbow kiasi kila mtu unamwona ni papaya.
Sasa someni. Ame advance kwa sasa ameamua...
Vodacom Tanzania PLC has announced strong financial results for the year ended March 2026, recording significant growth in revenue and profit driven by strategic investments, customer expansion...
Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa ameliomba Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuidhinisha kiasi cha Shilingi trilioni 1.8 kwa ajili ya Matumizi ya Wizara hiyo katika mwaka wa fedha 2026/27...
Hivi kuwabandua vilivyo hawa Mabinti wa 2000 ni Kosa la Jinai siku hizi nchini Tanzania?
Mzee Malundo umetuangusha sana tuliokuwa tukikuunga mkono kwa Kuomba Radhi.
Mimi hakuna Binti wa 2000...
Na kwa wale Majuha (akiwemo Juha wenu Mkuu niliyemshauri na kumuonya Wiki iliyopita) ni kwamba alichokifanya Rais wa Kenya Ruto ni kuja Kutusanifu Watanzania kutokana na Ubishi na Upumbavu wetu...
CCM mtandao waonyesha sura zao halisi kwenye ujenzi wa refinery Tanga.
CCM mtandao kwa mara nyingine tena wameonyesha nani hasa ni adui wa maendeleo ya nchi ya Tanzania baada ya kupinga mradi wa...
Hii ni shule ya msingi iliyopo Kijiji cha Idete, Kata ya Idete Wilaya ya Kilolo Mkoani Iringa.
Mazingira ya shule ni hatarishi kwa watoto wetu kama inavyoonekana katika picha.
Tafadhali uongozi...
Waku Kuna Hawa punda wanaosomba mchanga,mawe ama tofari huku kanda ya ziwe kwenye gutama ama tela jina maarufu asee Hawa punda wanateseka sana.
Wanapigwa mwanzo mwisho wa safari bila huruma...
Kwa hapa bongo vitu vingi vilivyokuja kama used au mitumba huwa imara sana na uwezo mkubwa, angalia simu used, tv,radio, kompyuta, magari,nguo hata vifaa vya ndani majumbani huwa na ubora ingawaje...
Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) wanzungumza na vyombo vya habari leo Mei 11, 2026, kuhusu tathimini yao kuhusu taarifa ya ripoti ya Tume ya Jaji Chande...
UFAFANUZI KUHUSU WATUMISHI WA MKATABA KUTOTENDEWA HAKI
Dar es Salaam, 10 Mei 2026
Shirika la Viwango Tanzania linapenda kutoa ufafanuzi kwa umma juu ya upotoshaji uliochapishwa kwenye mitandao ya...
mwingine amewasha data, mwingine ame connect Wi-Fi na wengine wakawasha na vpn juu kuingia kwenye mitandao mbalimbali.
Je, lengo hasa la kuingia online lilikua ni lipi au ulikua unakuja kugungua...