Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwenye ndege Na kwenye treni bia zinapatikana. Kwenye mabasi ni soda tu. Kwanini bia haiuzwi Wala kugawiwa kwenye mabasi? Mabasi yanatumia muda mrefu zaidi njiani kuliko ndege, kiu jamani.
15 Reactions
54 Replies
5K Views
Maisha yetu wanadamu yanasiri kubwa mnoo, pia nimeamin tumeumbwa kwa mioyo yenye chuki na husda, hii ni baada ya kufanya uchunguz takriban wa miaka minne nimegundua katika swala la mafanikio...
38 Reactions
103 Replies
11K Views
Hapo nyuma usafiri wa Uber ulianza kuwa mkombozi kwa vijana waliokosa ajira kwa kujiajiri na uber na hivyo kupelekea kupunguza kero ya utegemezi kwa ndugu na kuweza kuendesha maisha ikiwemo...
3 Reactions
82 Replies
15K Views
Jamani msaada kwa anaejua bei ya mayai ya kisasa naomba anisaidie,nijue bei na yanapopatikana,nipo Pugu kajiungeni
0 Reactions
2 Replies
900 Views
Transparent inatengeneza Imani, kitambo niliona pilika za ujenzi wa ofisi za CDM pale Kinondoni mtaa wa Ufipa. 1.Nadhani wanachama walio mbali watatamani kujua muendelezo wa palipofikia jengo hilo...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Takribani wiki moja sasa mgambo wa jiji wamekuwa wakikagua usafi maeneo mbalimbali ya jiji lakini zoezi hili sasa linaenda kuwa kero kwa wananchi maana wanatoza fine kubwa sana ya sh 50,000 na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hawa jamaa nimewakubali sana wamerudisha local channel sasa ni bure yaani Itv, startive, eatv na tbc Nashukuru kwa kutupa vingamuzi kwa shilingi 36000 tu na kuangalia miezi 3 bure Thanks...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Ule mkataba kati ya Tbc na startime magu alimpa makyembe siku kadhaa kuuchunguza na kuuletea majibu iliishia wapi mbona kimya tu? Mbona kama ilikua ni kutafuta kick? Mkataba wenyewe unasemaje?Hebu...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Haki hii Tanzania ina maajabu Hapa alikuwa anazindua mashine ya kusaga na kukoboa ambayo alisema ni kiwanda.Kumbe JPM akiwa Singida alisema ukiwa na cherehani ni kiwanda. Hata Mwijage ashawahi...
3 Reactions
36 Replies
4K Views
Mzuqa! Angalia dakika za mwisho kwenye hii video msafara wa Mfalme Salman huko Jidah Saudia dakika za mwisho mwisho huyu mmatumbi alivyo na kiherehere. CC: Elungata
1 Reactions
17 Replies
4K Views
ATCL ombi langu kwenu, wateja wa ndege yenu wamekua wakiuliza maswali sana kwenye account yenu ya twitter kuhusu safari ya hiyo ndege sasa mmekua kimya sasa sijui mnataka Rais Magufuli ndo ajibu...
0 Reactions
4 Replies
804 Views
Binafsi nimekua nikipenda kununua vitu online,, lakini nimekua nina maswali yaliyo kosa majibu! hivi ukinunua kitu online mfano,, alibaba , amazon,beforward na kwingineko. Visipo kuja unamdai...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
SALUTE. Binaadamu wotee dunia tunatafuta ridhiki ili kukidhi mahitaji yetu mbali mbali. Hata mtu akufanyie fitina vipi ridhiki yako itakufuata popote pale ulipo. Zifuatazo ni njia tatu ambazo...
2 Reactions
39 Replies
4K Views
Sikuwahi kujua sababu za machine za vitambulisho vya kura/uraia kuibiwa. Uchunguzi uanzie kwa hawa jamaa. Na kwann ninewaza hivyo, ni kwa sababu mradi wa zile machine unacost Billions of money,CDM...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Nchini Cameroon ambako mzozo kati ya vikosi vya serikali na jamii inayozungumza lugha ya kiingereza umesababisha wanawake wengi kufanya majukumu ambayo kwa kawaida hufanywa na wanaume-majukumu...
0 Reactions
1 Replies
896 Views
Malkia wa urembo katika gereza kuu la wanawake la Lang'ata jijini Nairobi amehukumiwa kifo baada ya kupatikana na kosa la kumuua mpenzi wake. Ruth Wanjiku Kamande alipatikana na kosa la kumuua...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Rais wa Marekani Donald Trump anakusudia kumwalika Washington, Rais wa Urusi Vladmir Putin baadaye mwaka huu, licha ya kuendelea kuwepo ukosoaji juu ya mkutano wao uliofanyika Jumatatu wiki hii...
1 Reactions
2 Replies
503 Views
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
6 Reactions
81 Replies
22K Views
Ushahidi wa kuonyesha kuuibiwa pesa yangu kwenye account pamoja na chaguzi sahii bila kukosea. Mara ya Kwanza mwishoni mwa wiki niliibiwa hivyo hivyo nilichagua kifurushi cha elfu 10 wakanila elfu...
1 Reactions
14 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…