Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hii sio kauli ngeni kwako! Je kuna ukweli Gani? Kwamba mahali ambapo umezaliwa huwezi kufanikiwa? Kwanini ni muhimu kuhama kijijini kwenu kwenda kutafuta mjini? Karibuni waugwana
6 Reactions
16 Replies
227 Views
Wanawake vijana wengi wa bongo wanaokuwa wakiachika katika mapenzi na wanaobaki single mothers wamezoea sana kauli za kulalamika kusema walidanganywa au walitapeliwa na wanaume walioingia nao...
5 Reactions
10 Replies
213 Views
Wakuu Kuna hii tabia ya baadhi ya watu kuingia kwenye usafiri wa umma nyakati za jioni wakiwa wanatoka mazoezini bila kuoga, wananuka jasho na kwa kweli huwa wanakwaza sana abiria wengine...
12 Reactions
15 Replies
410 Views
Raia mzungu Muingereza alielowea Tanzania na wakati flani alikuwa balozi wetu wa kujitolea anayezungumza kiiswahili Fasaha Bongo Zozo amshtaki Mtanzania polisi uingereza kwa kumtukana na kumtishia...
6 Reactions
16 Replies
346 Views
Sijawahi kuelewea maonyesho ya silaha za kijeshi yanayofanywa na majeshi katika nchi za Africa. Unafanyaje maonyesho ya silaha ambazo huzizalishi hazitengenezwi nchini kwako! Wanaotengeneza hizo...
5 Reactions
5 Replies
183 Views
Endeleeni kupumzika kwa amani Watanganyika wenzetu mliopoteza maisha yenu 29 Oct, mkiwa na lengo la kulipigania taifa hili. Mauaji ya Kimbari kule Rwanda mpaka leo yanakumbukwa. Mauaji ya...
3 Reactions
7 Replies
217 Views
Katika pitapita yangu mitaani nimekutana na malalamiko ya wananchi kuwa sasa hivi units za umeme wa luku zinatembea mithili ya internet bundles za Yas! Wananchi wengi wanadai kuwa matumizi ni...
10 Reactions
65 Replies
2K Views
Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo, ameishauri serikali kubadilisha mwelekeo wa kibajeti katika Sekta ya Afya kwa kuwekeza fedha nyingi zaidi kwenye tiba za kinga (preventative medicine)...
2 Reactions
5 Replies
210 Views
Nilikuwa naangalia picha za nyuma za huyu mzee wetu Joseph Sinde Warioba mwenye busara, huruma na upendo alikuwa mwembamba sana. Na huu wembamba wake ameumaintain tangu udogoni na umemsaidia hadi...
8 Reactions
111 Replies
1K Views
Habarini wakuu. Naomba kuuliza swali la kizushi. Kiwango cha juu cha umeme wa LUKU ambacho mtu anaruhusiwa kununua ni kiasi gani?
1 Reactions
10 Replies
246 Views
Pongezi sana ndugu Ngassa Benard Mahangila kwa kuchaguliwa kuwa mfanyakazi hodari katika halmashauri ya mji wa bunda kwa kuchaguliwa kuwa mfanyakazi hodari ndani ya halmashauri. Nafikiri pongezi...
2 Reactions
8 Replies
245 Views
TAARIFA KWA UMMA Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) inapenda kutoa ufafanuzi kwa Umma kuhusu taarifa iliyochapishwa katika ukurasa wa Jamii Forums tarehe 12/5/2026 yenye kichwa cha habari...
0 Reactions
0 Replies
308 Views
Kiu ya Maisha Kila mmoja wetu hupitia wakati wa kiu. Kiu ya pesa, kiu ya kazi, kiu ya mapenzi, kiu ya mafanikio. Kiu inatufanya tuwe wanyonge, wenye pupa, na wakati mwingine tupofuke. Ndipo wengi...
3 Reactions
9 Replies
203 Views
Tuwe wa kweli mazingira yetu ya bongo pamoja na kuwa na technology zinazoweza kuact kama catalyst ya maendeleo yetu ni ngumu sana kwa sisi kufanikiwa. Nime realize wabongo wengi hujifanya wajuaji...
7 Reactions
57 Replies
895 Views
Mimi mkazi wa Tabora. Naomba kuwasilisha taarifa kuhusu mfumo unaotumia ahadi za ajira kuwavutia vijana kutoka maeneo mbalimbali nchini kwenda Mwanza kwa maelezo ambayo hayatoi ukweli kamili wa...
4 Reactions
29 Replies
479 Views
Dar es Salaam, Tanzania — Women leaders, professionals and changemakers have been urged to embrace continuous learning and digital skills development in order to remain competitive in today’s...
1 Reactions
0 Replies
149 Views
Nashindwa kuwatofautisha hao watu
4 Reactions
10 Replies
106 Views
WAZIRI MCHENGERWA: MUHIMBILI MPYA SIYO MRADI WA AFYA TU, NI UWEKEZAJI WA KIMKAKATI Serikali imeeleza kuwa kuijenga upya Hospitali ya Taifa Muhimbili si mradi wa afya pekee bali ni uwekezaji wa...
0 Reactions
16 Replies
296 Views
Sina mengi ya kusema ika kwa sasa jiji la Dodoma linakua kwa spidi kubwa sana. Ndani ya miaka kumi ijayo Dodoma itakuwa Las Vegas of Africa. Na hali yake ya kuwa nusu jangwa, jua linawaka vizuri...
6 Reactions
50 Replies
2K Views
Nimepita eneo la Kawe, mkabala na nyumba mpya za Shirika la Nyumba la Taifa (NHC). Pembeni mwa barabara inayoelekea Malingo, karibu na msikiti, ambapo kulikuwa na uchafu uliorundikwa kwa takribani...
1 Reactions
7 Replies
238 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…