Habari za mchana wapendwa
Leo nataka niwaibie siri vijana
Unapopita mtaani unakuta
Wameandika kuwa kuna mbwa
Wakali ndani usihofu hiyo ni fursa ndani kuna watoto wa kike Wakali Balaa kama unabisha...
Wadau Habari?Nimekuta watumishi best zangu wakilalama juu ya kutopata vyeo vipya makazini,kazi wanapiga fresh,huu mwaka wa 6-7 kazini,na hakuna shida yoyote katika utumishi wao,binafsi nililizika...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU CHANELI ZA BURE (FTA)
presstz.net
INAFAHAMIKA vizuri kwamba televisheni zote za kianologia zilizimwa tangu Januari 1, 2013 nchini Tanzania. Na kwa miaka...
Wakuu nakosa amani kila ninaposikia harufu ya wali uliopikwa na unanukia sana sehemu ambapo hakuna kabisa makazi ya watu, au kwa ujumla sehemu ambayo hutegemei kupata hiyo harufu. Nasikia ni...
Marehemu bibi na babu zangu waliniambia haya; wazazi wangu waliniambia haya; mwaka 2013 Kiongozi wa watu 1.3 billioni duniani waitwao wakatoliki aliyawema haya; ameyarudia tena mwezi Julai 2018...
Habari za Jumapili JF Family,
Leo naomba tukumbushane kidogo vitu ambavyo wengi tunavipuuzia lakini ni hatari mno kwa mustakabari wetu kiroho. Wakristo wote (wanaosema wameokoka na wengine wote)...
Chuki zipo ila zimetofautiana,,
Kuchukia sikatai
Ila kuna hii tabia "sikujui hunijui" unaanza kunichukia bure bila sababu kisa maendeleo
Mtu anakuchukia bure tu eti kisa kakuzidi
Waafrika...
Mwaka Jana nilinunua hisa za kampuni ya TCCIA kupitia m-pesa. Nikatumiwa SMS ya uthibitisho toka vodacom na DSE kuhusu muamala huo. Nimekaa zaidi ya miezi sita nasubiri cheti cha umiliki wa hisa...
Habari za wakati huu wadau naomba msaada nimeibiwa Sim aina ya TECNO-L8", inakiasi kidogo cha pesa ktk line, haina application yoyote ya kuzuia wizi , Ina password tuu, IMEI zake ninazo
Naomba...
Muimbaji huyu wa muziki wa reggae hapa nchini sijamsikia siku nyingi achilia mbali kumuona, naamini amejichimbia kwa muda mrefu kutuandalia vibao murua, kama kuna ajuaye lolote kumuhusu Kimbute...
Miongoni mwa picha zilizobeba mijadala mingi kwenye mitandao ya kijamii siku ya leo ni picha inayomuonesha Afisa wa Ngazi ya Juu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) akimpigia saluti...
Mimi ni Mstaafu na ninapata Pensheni yangu kupitia LAPF lakini hadi leo sijapata pensheni yangu licha ya kwenda Benki kufuatilia. Inawezekana wakati wa kuunganisha Mifuko hii na kuwa mfuko mmoja...
Habari... ni muda mrefu sasa sioni matangazo ya hawa jamaa... ikumbukwe kuwa hata Jf walikuwa wanatumia sana matangazo ya Pinpoint. Website yao pia haipo hewani na ile nafasi ya tangazo lao hapa...
Nimeona hii toka juzi, jana na leo. Itv sasa hivi wana kautaratibi kao kapya wakati wa habari. Ule muda wa kusoma muhtasari kabla ya habari, mtangazaji anakuwa kasimama mbele ya ile meza au ile...
Kila kukicha shillingi ya Tanzania inaporomoka dhidi ya dollar ya Kmarekani na hii inapelekea bidhaa nyingi zinaoagizwa toka nje kupanda bei. Leo hii kwa kiwango cha ubadilishaji wa BOT ni...
Hakuna kitu kibaya kwenye hii nchi kwa sasa kama kudharau watumishi wa umma
Tangu serikali yako imeengia madarakani watumishi wa umma tumekuwa na hali ngumu kupindukia na hali hii imesababishwa...