Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuota ndoto kwa binadamu ni kawaida kabisa na kuna ndoto zitokanazo na rekodi ya ubongo ambazo hazina athari yeyote na si za kutilia maanani. Lakini kuna ndoto zingine hutakiwi kuzipuuza kabisa...
12 Reactions
42 Replies
902 Views
Mbona watu wa Dar muda wote wako mbiombio? Shida nini hasa? Ni kama wamekanyaga kaa la moto! Kifupi imenishangaza sana. Yaani muda wote watu wa Dar wapo resi. Kila mtu ni fulu mwendo. Utaona...
20 Reactions
51 Replies
2K Views
Kura zingepigwa fairly na squarely kutoka kwa wana EA kila mahalai ila hii ya azam kura zitaishia kulimbikizwa kwa wabongo hata kama hawajui.
0 Reactions
9 Replies
180 Views
WANAWAKE MNAYOHAKI YA KUDHARAU WANAUME MACHAWA NA WAMBEA WAMBEA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Binti zangu, usione haya wala aibu yaani usijifiche kuonyesha dharau kwa Mwanaume yeyote...
5 Reactions
21 Replies
506 Views
Wakuu naomba kujuzwa Samia ana elimu gani Alisomea nini, wapi na alifikia level gani? Anayejua anisaidie
14 Reactions
96 Replies
2K Views
Wakuu, Jamani ni mimi mwenyewe ndo nimeona hivi au kuna wengine pia mmeona? Yaani siku hizi mtandaoni kumekuwa kama soko la ushauri wa afya. Kila mtu akiamka anajirekodi video akisema "kunywa...
2 Reactions
6 Replies
201 Views
Akiwa kwenye mahojiano na Podcast ya MS, Nape Nauye Mbunge wa Mtama anaelez kuwa yeye ni muumini wa CCM imara inahitaji upinzani imara na kama upinzani utakuwa dhaifu basi italeta shida kwa CCM...
0 Reactions
9 Replies
199 Views
Serikali kupitia Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam na TARURA imeanza utekelezaji wa ukarabati wa barabara ya Tabata Bima–Kimanga iliyopo wilaya ya Ilala, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuboresha...
0 Reactions
0 Replies
151 Views
Huwa tunaimba Mungu ibariki Tanzania, wabariki viongozi wake. Huu mstari naona Mungu anawatendea haki viongoz maana kwakweli wanabarikiwa maukwas, neema na nk. itabidi kuongezwe ubeti utakaotaja...
1 Reactions
4 Replies
99 Views
Habari za muda huu, na ahsante kwa kufungua uzi huu. Natumaini kati yetu yupo mtu mwenye uzoefu wa maktaba kuu ya Tanzania (National library of Tanzania ) Tafadhali tunaomba utusaidie ( Mimi na...
3 Reactions
9 Replies
517 Views
Anonymous (8896)
MCHANGO WA MAONI KUHUSU MATANGAZO YA KIDIGITALI NA MATUMIZI YA DATA KWA MTUMIAJI Kwa heshima kubwa, ninaomba mamlaka zinazohusika na mawasiliano nchini, hususan TCRA, kuangalia uwezekano wa...
1 Reactions
0 Replies
128 Views
Kutofanyiwa ufumbuzi wa tatizo la kujaa maji katika njia ya Vianzi kutoka Vikindu Hospitali kuelekea Masister inaleta shida sana kwa watu kupita. Hii ndiyo njia pekee inayotumiwa na wanafunzi wa...
0 Reactions
8 Replies
313 Views
Anonymous
Hii ni njia ya Vijibweni Kigamboni, kero hii kabla ya uchaguzi na baada ya uchaguzi, mpaka sasa hatujapata utatuzi, mvua ikinyesha huwezi subiri chombo cha usafiri wa umma hapo, unasimama upande...
3 Reactions
10 Replies
233 Views
Wanaocheza efootball wanasifa hizi 1. Wanaishi kwenye nyumba za ukoo 2. Wanaishi kwa kutegemea boom 3. Wanaishi kwa hisani ya aviator 4. Wanaishi kwa shemeji zao 5. Hawana akiba hata ya afu 10...
4 Reactions
4 Replies
129 Views
Ukiona ishara hizi basi malaika wa Mungu alikuwa eneo lako 1.uwepo wa amani, Mungu utuma malaika wake kuja kukusaidia inawezekana unapitia changamoto lakini kuna amani ndani yako ambayo ielezeki...
8 Reactions
8 Replies
484 Views
Mradi wa SAFARI unaotekelezwa na Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) umefanya kikao chake cha kwanza cha Kamati ya Ushauri wa Kiufundi (TAC) iliyoundwa kuimarisha utekelezaji wa Mradi huo wenye lengo la...
0 Reactions
2 Replies
150 Views
Anonymous
Mimi ni mkazi wa Tabata Chang’ombe. Naomba kuwasilisha kero yangu hii mtusaidie kupaza sauti. Kwanini Halmashauri ya Jiji wanatoza ushuru wa stendi Tsh. 2000 kwa kila gari ilhali hakuna hiyo...
0 Reactions
2 Replies
118 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…