Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Anonymous
Ni jambo la kusikitisha na linalokatisha tamaa kuona kuwa ofisi yetu imeamua kupunguza kwa kiwango kikubwa ubora wa huduma za bima ya afya kwa wafanyakazi, bila kuzingatia athari zake kwa afya na...
1 Reactions
1 Replies
288 Views
chai ya rangi ni mtu anaependa kutoa maua kwa mtu yeyote atakae muona anafaa kupewa maua kwenye angle fulani. Ana upeo wa kuona na kutoa maua kwa member yeyote ingali mlewa maua akiyaona na...
8 Reactions
34 Replies
584 Views
Maisha ni muvi. Mtaa niliokuwa nimepanga classmate ndio amekuwa amejenga nyumba. Siku wahi kujua alipata wapi pesa za maana hivi ila nachojua ni mrembo sana na ana makebo makubwa. Kipindi...
8 Reactions
77 Replies
1K Views
Hospitali ya Taifa Muhimbili imeendelea kuandika historia katika huduma za uzazi pandikizi (IVF), huku madaktari wake wakieleza kuwa changamoto kubwa wanazokutana nazo ni ubora hafifu wa mbegu za...
0 Reactions
0 Replies
213 Views
Malalamiko kwa Airtel Tanzania: Huduma ya 5G au Tapeli. KWA WATEJA WA AIRTEL 5G ROUTER – ACHENI KUPOTEZA PESA ZENU! Nimekuwa nikitumia huduma ya Airtel 5G Router kwa miezi kadhaa sasa, nikilipia...
4 Reactions
15 Replies
493 Views
Kama wslishindwa kulinda wananchi hadi kilaza mmoja tu anaamua kufanya mauaji ya kutisha na wao wapo tu kama makuku ya kisasa hawapaswi kutuonesha ujinga ule wa kuvunja matofali. Iwe mwanzo na...
10 Reactions
14 Replies
332 Views
Serikali imeeleza kuwa kuijenga upya Hospitali ya Taifa Muhimbili si mradi wa afya pekee bali ni uwekezaji wa kimkakati wenye maslahi mapana ya kitaifa na kimataifa katika sekta ya tiba, elimu...
3 Reactions
4 Replies
221 Views
Anaandika BSAT Properties katika ukurasa wake wa X Nilikuwa kwenye treni huko Tokyo. Tulisimama katikati ya vituo. Tangazo kwa Kijapani, kisha kwa Kiingereza: “Tunaomba radhi kwa kuchelewa...
17 Reactions
19 Replies
392 Views
Wakuu, Naona hili suala la kupandisha na kushusha AC huko maofisini watu watatoana roho Wengine wanataka baridi, wengine hawataki Unakuta watu wazima kabisa wanagombania rimoti ya AC...
11 Reactions
13 Replies
317 Views
Anonymous
Viongozi wa kijiji cha Mlimba 'B' katika Halmashauri ya Mlimba wamekuwa kero kwa wananchi kwani wamekuwa wakitoza faini ya Tsh. 10,000/= kwa kila mwananchi asipohudhuria kwenye mkutano wa serikali...
3 Reactions
10 Replies
236 Views
Hakuna wanachokifanya huduma MBOVU Kwa wananchi, rushwa, wizi na utapeli vimetamalaki Yapata miezi sita Sasa wananchi walotuma maombi ya passport na wanao omba passport wanaambiwa mfumo...
0 Reactions
13 Replies
266 Views
Nimesikia watu wanasema kula ni ibada nikashangaa sana, nimeshindwa kuelewa wanamaanisha nini maana najua viumbe wote wanakula ili waendelee kuishi, wasife. Niliwahi kusikia pia watu wanasema...
2 Reactions
4 Replies
109 Views
MUNGU MKUU AMETUKUMBUKA KUTUUNGANISHA NA TAIFA LA ISRAEL.
33 Reactions
245 Replies
36K Views
Anonymous (6565)
Wilaya ya Mlee Mkoani Katavi tunadai fedha za Uchaguzi, Waziri Mkuu alipokuja viongozi wakatuziba mdomo msiongee, tutawalipa, hadi leo imekuwa danadana Mkurugenzi hataki kutulipa sisi mgambo na...
7 Reactions
28 Replies
386 Views
https://www.youtube.com/watch?v=Do0-6e7Bs-Q
2 Reactions
1 Replies
138 Views
My Take Safi sana Wazanzibari Kwa kuamua kujitegemea na kuonesha mfano. Mzanzibari hajawahi kuwa na sifa ya ubianafsi Wala ufisadi kama ule upande wa watu wenye mdomo sana...
2 Reactions
2 Replies
220 Views
Mimi nishanunua chupi ya chuma wewe je Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) limefikia makubaliano ya awali na serikali ya Tanzania kutoa ufadhili wa dola milioni 375.5 (takriban Shilingi bilioni...
2 Reactions
2 Replies
153 Views
Hii imekaaje Unakutana na watu nyomi kariakoo wapo bize wenyewe kumbe wamepotea. Ushawai kupotea kariakoo mdau ?
3 Reactions
11 Replies
320 Views
Kwa maoni ya wataalamu wa IMF waliokuja hapa Tanzania, tuko vizuri sana
0 Reactions
1 Replies
82 Views
Investment ya mwisho Dangote kufanya Tanzania ilikua Kiwanda cha Cement Mtwara, $500 Million Investment. Kabla ya 2015, mfuko wa cement ulikua unauzwa kati ya 18,000 mpaka 19,000. 2016 Dangote...
0 Reactions
0 Replies
160 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…