Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Aliyekuwa Diwani kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kata ya Kigala Wilayani Makete Mkoani NJOMBE Kelvin Nguvila ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na nyadhifa zake zote ndani ya...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Nimechoshwa na startimes kiukweli Haya mwenye kisimbusi cha continental cha antenna vipi:- Cha antenna kina channel ngapi??? Cha dishi jee?? Wanazo channel za aina gani??? Vipi ubora wa picha...
1 Reactions
25 Replies
9K Views
Kuna kampuni Ngare investment – Wamiliki wa hoteli ya NATRON PALACE iliyopewa uwakala wa kukusanya ushuru wa maegesho ya magari Arusha inawanyanyasa wafanyakazi wake. Tangia wapewe tenda hiyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe ametaka washiriki wa shindano la urembo la Miss Tanzania kupewa nafasi za ajira katika Shirika la Ndege la Taifa la Air...
1 Reactions
63 Replies
9K Views
Habari,wanajamii!!? Nakubaliana na maamuzi ya kufungia baadhi ya loko chaneli yaliyofanywa na mamlaka.Swali langu ni je,nikwanamna gani tunaweza kulipwa fidia kwa sisi tuliolipia ving'amuzi kwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimekuwepo Dar kwa muda ambapo huwa nakuja na kuondoka katika vipindi tofauti tofauti na pia nimewahi kuishi hapa Dar kwa kipindi kirefu tu. Juzi nimekuja tena Dar na jioni nikaende katika bar...
5 Reactions
72 Replies
10K Views
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, mhe Ally Hapi kutumia mahakama ya wananchi kubaini watumishi wanaoshindwa kutatua kero za wananchi na kuisababishia serikali kuchukiwa. Kauli hiyo aliitoka katika kikao na...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
hope mpo na uzima, hawa watangazaji wa clouds TV hasa wa 360 kiukweli wanakera watu....... jamaa wananjaa ya teuzi utadhani wakiupata watafanya mageuzi. kinacho uma sasa mpaka dada angu Baby nae...
3 Reactions
46 Replies
10K Views
Katika zunguka zunguka na kutafuta ridhiki nilijikuta nimefika nchi fulani, tukiwa katika harakati za kutafuta maisha tulikijikuta mikononi mwa wanausalama wakituhusisha na uhamiaji/ ukaazi haramu...
6 Reactions
78 Replies
15K Views
Nimetoka kazini usiku nimechoka nafungua mlango na kuingia sebuleni kisha nachomeka simu kwenye charge naingia bafuni kuoga. Baada ya kuoga nazima taa ya sebuleni kisha naingia chumbani nafunga...
7 Reactions
37 Replies
7K Views
Habari wana JF Wakati nikiwa mdogo nilikuia nashuhudia ndugu zangu wazaramo wakifanya shangwe zao kwa kupiga ngoma ya mdundiko. Hii ngoma ilikua maarufu karibu kona zote za mji wa Dar es Salaam...
1 Reactions
30 Replies
7K Views
*NANI AJUAYE KESHO?* Mwaka 2005 Diamond alisafiri kwenda Tanga kuomba kuperform kwenye show ya Q-Chilla. Mabaunsa wakamtimua. Alipojaribu kuwaelewesha wakambeba juu juu na kumchania Tshirt na...
6 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari zenu jamani,poleni na majukumu yenu ya kila siku. Wadau naomba msaada kujua ni jinsi gani mtu anaweza kujiajiri kwa kutumia mtandao mfano INSTAGRAM.Ni biashara gani mtu anaweza ifanya...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Wanabodi nawasalimu sana! Ngedere ni wanyama Jamii wenye haiba ambayo kwa kiasi Fulani inataka kufanana na binadamu. Kwa Tanzania Ngedere ni moja ya wanyama wanaopatikana maeneo mengi na hivyo...
5 Reactions
30 Replies
7K Views
Kufuatia maonyo ambayo TCRA imekuwa ikiyatoa kwa kampuni ya Star Media Tanzania, wamiliki wa King'amuzi cha Star Times juu ya hujuma walizokuwa wanafanya kwa wateja wao, hatimaye TCRA wanakusudia...
3 Reactions
77 Replies
11K Views
Walitwa vyangudoa,dada poa,mipanya,mi fisi,mipanya buku, wadudu ila 2018 wamepewa jina la "wahamiai haramu" Nazungunzia wale Dada zetu wanaotusaidia kupunguza ugumu..wanaopatikana almost kila...
4 Reactions
24 Replies
7K Views
Wanasema ujana Ni maji ya Moto, wengine wanasema chezea ujana fainali uzeeni lakini vitabu vitakatifu vinasema "mkumbuke Mumbai wako siku za ujana wako kabla hazijaja siku mbaya machoni pako". Na...
76 Reactions
93 Replies
21K Views
Umuofia kwenuuuuuu!!!!!!!. Kuna mwanafalsafa mmoja alisema hatuwezi kuishi bila siasa maana maisha ni siasa. Mwingine akasema bila wanasiasa matatizo yasingekuwepo maana wao ndiyo huibua matatizo...
0 Reactions
0 Replies
563 Views
Mlozi wetu yu hai bado..... Unalipia king'amuzi uone tatu mzuka na biko aghalau ukishinda ujue, mara unasikia uliyemlipa amekatazwa kutoa huduma kwa sababu alikutoza kimakosa. Hapo umeibiwa mara...
6 Reactions
14 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…