Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ebola ni gonjwa la kutisha sana, hii ni kwasababu huambikiza kirahisi sana, huua haraka na vibaya sana na halina tiba mpaka sasa! Tunaambiwa gonjwa hili linasababishwa na kirusi kinachopatikana...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Watoto 2 wafariki dunia baada ya kuangukiwa na ukuta na wengine 3 wamejeruhiwa vibaya Watoto hao walikuwa wakicheza jirani na ukuta huo. Waliofariki ni Ali Kondo mwenye miaka 4 na Mwajuma Hamada...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mh. Selemani Jafo, akiwa anaongea kwenye kipindi cha Tunatekeleza cha TBC, saa 6 mchana, amesifia kazi kubwa...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Two seismic overlapping events, one celestial, the other manmade ,created the unique condition igniting the Northern California fires that swept through pine country on October 8 and 9. The chain...
0 Reactions
0 Replies
617 Views
Natamani sana nimjue huyo aliyewabunia huu mtindo mpya mliouanzisha kama mwezi sasa wa kusimama wakati mkisoma muhtasari wa habari kisha mnatugeukia na kutuonyesha makalio yenu ambayo wengine mna...
9 Reactions
22 Replies
4K Views
Son of Sam Law au kwa kiswahili kisicho rasmi Sheria ya Mtoto wa Sam ni sheria iliyotungwa huko majuu kwa wenzetu kuzuia mhalifu kunufaika na uhalifu wake kupitia mauzo ya filamu, vitabu au...
1 Reactions
10 Replies
829 Views
Abiria anapaswa kuandika barua kwenda kampuni husika ya bima iliyokatiwa hilo Bus. Katika barua hiyo aambatanishe vifuatavyo 1.TIKETI YA SAFARI. 2.CHETI CHA MATIBABU YA HOSPITALI. 3. FOMU YA...
7 Reactions
11 Replies
3K Views
Serikali Imetoa Ufafanuzi Kuhusu Tamko Lake La Awali Kuhusu Umiliki Wa Line Za Simu.Tamko La Awali Lilieleweka Kuwa Mtu Anatakiwa Kuwa Na Line Moja Tu Ya Simu. Ufafanuzi Huo Umesema Kuwa, Ni Line...
5 Reactions
39 Replies
8K Views
Mtuhumiwa anayehusishwa na mauaji ya Wanawake 29 katika mikoa ya Geita, Mwanza na Shinyanga amekamatwa katika operesheni iliyofanywa na Polisi Katika mauaji hayo yanayohusishwa na imani za...
1 Reactions
30 Replies
5K Views
Kila mwanachi anastahili kupata utulivu nyumbani kwake. Hiyo ni haki ya msingi kwa kila raia. Mbali ya hayo wengine tuna wazee wenye matatizo mbali mbali, wengi wao wanahitaji utulivu majumbani...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Inasikitisha sana.Vijana wadogo umri ambao inatakiwa wawe shule kidato cha kwanza au cha pili wapo kitaa wanakula bangi!kibaya zaidi baadhi yao hadi wazazi wao wanafahamu fika kuwa wanavuta...
7 Reactions
50 Replies
5K Views
Hi guys.... Huyu apa ni MTANZANIA mwezetu. Tunaombeni Msada kwa yeyote anae mjua huyu jamaa... Au anaye mjua ndugu Yake yeyote. Kwan amefariki Dunia Jana tr 22/08/2018 nchin ZAMBIA na bado...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Benki ya Exim inatarajia kupiga mnada hoteli ya kifahari ya Slim Slim pamoja na samani za kumbi za mikutano vilivyopo Bagamoyo mkoani Pwani baada ya mmiliki huyo kushindwa kurejesha mkopo wa TZS...
3 Reactions
47 Replies
8K Views
Hiki chama taratibu zake na katiba yake ikoje? Viongozi waliopo sasa madarakani walichaguliwa lini? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
1K Views
KUNA GHARAMA HAPA? 1. Inakugharimu kiasi gani kumsalimia mlinzi anaekufungulia geti ukiingia kazini? 2.Inakugharimu kiasi gani kumuomba mfanya usafi akuruhusu upite kuliko kukanyaga mahali...
1 Reactions
76 Replies
5K Views
Hiki chama taratibu zake na katiba yake ikoje? Viongozi waliopo sasa madarakani walichaguliwa lini?
0 Reactions
1 Replies
724 Views
Jamaa mmoja kamleta mjini mtoto wake wa kike aliyekuwa amasomea huko shule ya msingi. Baada ya siku chache Yule mtoto haonekani kumuuliza anasema Serikali ya Kijiji imepiga simu arudi haraka...
0 Reactions
2 Replies
539 Views
Binafsi nashukuru viongozi wa timu ya Serengeti boys pia wachezaji wake kwa utetezi wa nguvu juu ya Taifa letu. PENDEKEZO Nashauri serikali kuwekeza katika timu hii kwa nguvu zote na wasiruhusu...
0 Reactions
1 Replies
726 Views
miaka ya nyuma kuna dawa ya kulainisha nywele ilikuwa inaitwa kalikiti. je ni kweli ilikuwa inaitwa kalikiti? ilo jina lina maana gani? correct me if am wrong
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Hiki chama taratibu zake na katiba yake ikoje? Viongozi waliopo sasa madarakani walichaguliwa lini? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
606 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…