Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Starehe zetu watu wa vipato vya chini na kati zinasikitisha 1.Pombe 2.wanawake 3. Kula ulivovikosa kwa mda mrefu 4.manunuzi yasiyo na utaratibu maalumu. Ila kwa wenye nazo ni tofauti 1.Hutoka out...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
nauliza tu... maana hata ile statutory annual increments aliyoahidi mwenyewe kwa kinywa chake kwenye mei mosi pia Hadi leo hakuna!! Mheshimiwa Kama ulisahau tunakumbushia tu hatuna Nia mbaya...
0 Reactions
2 Replies
750 Views
Natokea hapo Hugo house narudi ofisini kwangu Ufipa, kiukweli haya majengo ya Bakwata yanapendeza hongera sana Kwa mfadhili anayewajengea. Thanks!
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Ee mwanadamu wajitia wewe mjuaji kuliko wengine. Je, wewe wajua kuliko aliyekuumba? Wajitia upofu ukifikiri kwamba utaishi milele, naomba ujue mwanadamu utaishi miaka makumi wawili, matatu na kumi...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
White sands hotel inawaka moto.
1 Reactions
72 Replies
15K Views
NIDA NIDA NIDA Naskia ZOEZI LA Utoaji wa Vitambulisho vya Taifa LIMEKWAMA
0 Reactions
19 Replies
2K Views
TAARIFA MUHIMU KUTOKA OFISI YA RC MAKONDA Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam inashangazwa na taarifa zinazo sambaa mtandaoni juu ya kuwepo kwa Mkutano wa Mkuu wa Mkoa, Mh. Paul Makonda na...
11 Reactions
89 Replies
15K Views
Wakuu nimetafakari hili jambo baada ya juzi kwa bahati mbaya kujikuta nipo katikati ya viongozi wa serikali wa mitaa na wanachama wa Ccm eneo la Chanika Jimbo la Ukonga Dar es salaam waliokuwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari, Hem tujadili haya maneno ambayo sijui ni ya hekima au ya kuzodoa kutoka kwa Mb Nape Nnauye akisema "Ukiona barabara imekuwa ngumu,usikate tamaa na kuacha safari Badili viatu na usonge...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kufuatia agizo la Tcra na waziri hatimaye channels za bure zimeanza kuonekana bure King'amuzi changu cha startimes local channels zimeanza kuonekana bure ambazo ni Itv, startv, tbc,channel...
3 Reactions
54 Replies
10K Views
Amani iwe nanyi wana JF. Binafsi sipo dar na nina uhitaji wa kusikiliza neno la mtumishi wa Mungu bwana GWAJIMA hapo siku ya jumapili. Hivyo basi naombeni namna au mbinu zipi nitumie ama link kwa...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Ni swali ambalo muandishi wa BBC alisahau kumuuliza ndugu Lissu kuhusu dereva wake ambaye yupo naye huko hospitali Ubeligiji. Je, Lissu atakaporejea nyumbani dereva ndio atakuwa amezamia moja kwa...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Mungu awape nini tena?fungeni na kuomba yalipiwe kodi,maisha magumu sana.Nasema tena hongereni maana huku wenzenu hali tete!fungeni na kuomba vinginevyo yananunuliwa na team B.
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Katika historia yetu wazungu pamoja na waarabu katika vipindi tofauti walipokuja Africa waliwachukua watu kutoka Africa na kuwapeleka katika nchi zao kwa ajili ya kufanyishwa kazi na mambo mengine...
4 Reactions
241 Replies
25K Views
Muheshimiwa mkuu wa mkoa mimi ni mwalimu wa mkoa wako kuliko kutuletea hizo sofa bora utujengee madarasa. Mwaka huu wanafunzi wa kidato cha kwanza wanakaa 80-85 kwa chumba na ni shule ya mjini...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mimi katibu Wa wanaume; kwa tangazo hili nawasihi wanaume wenzangu, Afe kipa Are beki Tudumishe kurinda Aman, Popote uonapo kuna mtu anaonewa Pambana kuhakikisha unaokoa, Acheni Uoga ndugu zangu...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Moto mkubwa umeteketeza kabisa hotel za Whitesands na Sunset zilizopo katika ufukwe wa Nungwi huko Visiwani Zanzibar. More updates to come... Source: ITV
0 Reactions
37 Replies
6K Views
1. Seychelles hawahitaji Visa kuingia katika nchi 129 2. Mauritius hawahitaji Visa kuingia katika nchi 125 3. South Africa hawahitaji Visa kuingia katika Nchi 94 4. Botswana hawahitaji Visa...
6 Reactions
29 Replies
7K Views
Kiukweli mnanisumbua sana kwani mmenifanya nishinde tu na Taulo na Mswaki wangu mdomoni mpaka Saa nane ( 8 ) hii huku nikizunguka zunguka tu Sebuleni Kwangu kusudi nisikose matangazo yenu ya...
35 Reactions
131 Replies
16K Views
Jeshi la Polisi mkoani Tabora linamshikilia Bw. Ndodi Galamji, kwa tuhuma za kumiliki kikundi cha waharifu kilichopata umaarufu kwa kuitwa 'Jeshi la Sanjo' kilichokuwa kimejiwekea miliki yake na...
3 Reactions
26 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…