NIDA IMEKWAMA KUTOA VITAMBULISHO?

TAMKO

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
1,090
762
NIDA NIDA NIDA

Naskia ZOEZI LA Utoaji wa Vitambulisho vya Taifa LIMEKWAMA
 
Nchi Hii Kila sehemu Ngumu kupenya! Watu Wana miezi wanasumbuliwa Kitambulisho tu! Kama NIDA wameshindwa wasepe
 
Hili jitu linasimama najiudhulu ubunge wangu kumuunga mkono Jiwe.Unafiki wa kiwango cha phd:mad::mad::mad:
 
NIDA NIDA NIDA

Naskia ZOEZI LA Utoaji wa Vitambulisho vya Taifa LIMEKWAMA

Wewe ndiye mgeni peke yako hapa Galilaya!?! Hujasikia kuwa werevu washapiga hela ndefu huko NIDA?!?
 
Back
Top Bottom