Muheshimiwa mkuu wa mkoa mimi ni mwalimu wa mkoa wako kuliko kutuletea hizo sofa bora utujengee madarasa. Mwaka huu wanafunzi wa kidato cha kwanza wanakaa 80-85 kwa chumba na ni shule ya mjini...
Mimi katibu Wa wanaume; kwa tangazo hili nawasihi wanaume wenzangu, Afe kipa Are beki Tudumishe kurinda Aman, Popote uonapo kuna mtu anaonewa Pambana kuhakikisha unaokoa, Acheni Uoga ndugu zangu...
Moto mkubwa umeteketeza kabisa hotel za Whitesands na Sunset zilizopo katika ufukwe wa Nungwi huko Visiwani Zanzibar.
More updates to come...
Source: ITV
1. Seychelles hawahitaji Visa kuingia katika nchi 129
2. Mauritius hawahitaji Visa kuingia katika nchi 125
3. South Africa hawahitaji Visa kuingia katika Nchi 94
4. Botswana hawahitaji Visa...
Kiukweli mnanisumbua sana kwani mmenifanya nishinde tu na Taulo na Mswaki wangu mdomoni mpaka Saa nane ( 8 ) hii huku nikizunguka zunguka tu Sebuleni Kwangu kusudi nisikose matangazo yenu ya...
Jeshi la Polisi mkoani Tabora linamshikilia Bw. Ndodi Galamji, kwa tuhuma za kumiliki kikundi cha waharifu kilichopata umaarufu kwa kuitwa 'Jeshi la Sanjo' kilichokuwa kimejiwekea miliki yake na...
Ukiwa mzazi, hutampenda tu mwanao bali pia utamtakia heri. Hata mimi, sitaki mtu anipende tu, bali nimwone pia akinitakia heri.
Upendo wenye kutakiana heri ndiyo hasa upendo wenyewe. Ni upendo...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amewatoa nje Makamanda zaidi ya 30 kwa kosa la kutaja Jeshi la Zimamoto bila kumalizia ‘na Uokoaji’ ambapo amesema hilo jeshi lao halitambui.
Hali...
Sijui kama hizi Honi Za Daladala aina ya Eacher ni rafiki wa mazingira!
Ki ukweli wamiliki ingepaswa wabanwe wazibadilishe, nahisi nguvu yake ni zaidi ya mahitaji na ni hatari kwa afya.
Leo kuna...
WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii imemkataa mkurugenzi mpya wa Hospitali ya Rufaa Bugando, Dk. Kien Mteta, aliyeteuliwa na kanisa hilo kushika nafasi ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Hospitali hiyo...
Utapeli ni janga ambalo limeumiza na linaendelea kuumiza watu wengi sana katika jamii. waathirika wa utapeli ni watu wa kada, jinsia na wazifa tofauti katika jamii bila kujali uwezo wa kiuchumi...
Yanasemwa mambo mbalimbali kumhusu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda. Ni juu ya hatma yake kama Mkuu wa Mkoa kufuatia sakata lake la makontena yanayoshikiliwa na TRA ambayo yatapigwa...
Katika kile kilichoelezwa kuwa ni kijenga mahusiano mema na pia kuendeleza michezo, timu za mpira Jeshi la Magereza na Polisi leo zitakutana kugombea Mbuzi mnyama.
Mbuzi huyo ametajwa kuwa wa...
1.Elimu
2.Maradhi
3.Umaskini
Kukosa maji kununua ndege ni sawa kurudia uchaguzi kukosa madawa na maabara za kutosha ni sawa kipaumbele n nn amakwl ipo siku mtakosa ahadi na ilan zenu sijui...
Sisi kama Wananchi wa Vijiji Sita vilivyouziwa Shamba hili tunaishukuru sana Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Mhe. John Pombe Magufuli kwa kumnyang'anya Ndugu Otieno Igogo HATI ya shamba...
Tunafundishwa kuwa hakuna dhambi isiyosamehewa kwa Mungu hata kama iwe nyekundu kama damu.
Mpaka mtu achukuwe uwamuzi wa kuwa mtawa lazina sehemu hii ya msamaha wa dhambi inaifahamu vizuri kuliko...
Niaje wadau,niko Lushoto leo siku ya pili,licha ya kuwa huu mwezi August/Septemba si msimu wa baridi but ishu niliyokutana nayo kama ndo hivi huo mwezi june sijui inakuaje
cheki nyuzi joto hilo...
Habari za ijumaa mabibi na mabwana katika jukwaa hili?
Mara nyingi nimekuwa nikijiuliza swali hili bila kupata majibu, naomba wenye uelewe watueleweshe ili kwamba kama kuna wengine wenye kutaka...
Twenty seven Tanzanians will be deported following their arrest in Mombasa as part of the nationwide crackdown on illegal immigrants.
Security agents in the county handed them over to the...