Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

kila nikipita mtaani nakutana na matangazo ya ajira hadi mishahara imewekwa mingi ni laki tatu unusu. hivi tumefikia kutafutwa kuajiriwa hadi kwenye mitaro, nguzo za umeme na makaravati. kumbe...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Ndugu zetu deni limewazidi hadi uniform za jeshi la polisi wa kenya wameanza kuvaa za jeshi la polisi la china. Hivi cc twadaiwa kiac gani na hao wavchina?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Serikali imeajiri walimu 2160 wa shule za sekondari na kuagiza waajiriwa hao wapya kuripoti kwenye vituo vyao vya kazi ndani ya wiki mbili wakiwa na vyeti halisi vya taaluma na cheti cha kuzaliwa...
0 Reactions
96 Replies
13K Views
Naombeni maelekezo kutoka kwa yeyote anayejua mahali ilipo hospitali ya Hindu Mandali na jinsi ya kufika katika hospital hiyo kutokea Gongolamboto
1 Reactions
58 Replies
15K Views
KIASI cha sukari kilichopo nchini, kinatosheleza kwa miezi mitatu, ukiachilia mbali uwepo wa uzalishaji unaoendelea nchini. Akitoa taarifa ya hali ya sukari nchini bungeni Dodoma jana, Waziri wa...
0 Reactions
3 Replies
785 Views
Katika hali inayokumbushia kisa cha "Wasabato Masalia" kundi la kina mama Wapentekoste na watoto wao wameamia kwenye msitu huko ngara wakiziacha nyumba na familia zao katika kile wanachoamini kuwa...
0 Reactions
52 Replies
6K Views
Waziri wa ardhi mh Lukuvi amesitisha ubomoaji wa nyumba za wavamizi eneo la Pugu mnadani. Lukuvi ameyasema hayo katika mkutano wa hadhara uliowashirikisha pia Waziri wa mifugo mh Mpina na RC...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Wanajamii wenzagu habari za wakati huu.kuna habari hii ya kurejeshewa pesa kwa wale waliolipa azam,zuku na dstv kuona channel za ndani,mwenye undani wa hili anisaidie.
0 Reactions
5 Replies
671 Views
(Sina maana ya kuwa wasukuma wabaya ) Ndugu zangu kilichonifanya ni zungumze haya imeniuma kuona damu za watu zinamwagika kama vile Serikali haijapaona iko bize na kununua wapinzani. Wiki kadhaa...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Kuna maneno mengi ambayo yanaelezea kanuni za maumbile kuhusu matendo yetu tunayowatendea watu wengine. Miongoni mwa Kanuni za kimaumbile husema mtenda hutendewa, what goes around comes around...
15 Reactions
14 Replies
2K Views
Msaada wetu anahitaji kupelekwa India kwaajili ya matibabau ya tumbo
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu Huu uchaguzi kwangu hauna mana zaidi ya posho tu nile na Mimi kodi yangu aisee......sasa mambo ya huko nayo ovyo kabisa Msimamizi mkuu jumla posho kwa siku zote tano anakula...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Ikiwa ni miaka miwili imepita tangu aliyekuwa Mbunge wa Ludewa Deo Haule Filikunjombe afariki dunia, mke wa wake Sarah Habiba amesema Tanzania ina pengo kubwa kwa kumpoteza Deo. Kwenye ukurasa...
6 Reactions
126 Replies
25K Views
Vipaji saba (seven talents) Kuna aina saba za vipaji duniani (Howard Gardner) Kipaji kipo siku zote lakini kinahitaji kuendelezwa, waswahili tuna msemo unaosema rasilimali sio utajiri. Hesabu...
0 Reactions
32 Replies
13K Views
Metl Tanzania Iimited wanavunja sheria ya ajira nchini kwani vyeo vyote wamepeana kwa msingi wa rangi japo hata ktk suala LA ajira wamekuwa wakibàguana ktk rangi zao Pia ukiwa Mkristu ni nadra...
4 Reactions
66 Replies
6K Views
Maisha ya Mtu mweusi ndani ya USA yanaonekana kutokuwa na uhakika baada ya uongozi wa Trump kukaza mno, Wengi wamejua kwamba mwafrika anayeenda canada anapewa huduma bule na kulipwa kila mwezi...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Habari wanajukwaa, Kama una kiwanja Block 14 mabwepande na haujatembelea/haujakisafisha kwa mda wa mwezi au miezi miwili nyuma,basi tambua hauna chako,Kumezuka uvamizi wa viwanja vya halmashauri...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba kuwatakia Usiku mwema Wa Furaha Wakazi wa Songea kwa kufikiwa na Umeme wa Grid leo hii... Umeme wa Grid kupitia Makambako na Madaba... Na sasa Mashine za Mafuta (Diesel Generetors) za...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MKOPWAJI KUMFIDIA MDHAMINI WAKE, MALI YA MDHAMINI HUYO INAPOUZWA. Na Bashir Yakub. +255784482959 Ni kawaida mali za wadhamini kuuzwa pale ambapo wale waliowadhamini wanaposhindwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Binafsi naona kama Mamlaka ya viwanja vya ndege inatumia nguvu kubwa sana katika kujitetea kuhusu pochi inayodaiwa kupotelea uwanjani hapo ikiwa katika hatua za mwisho za ukaguzi. Suala hili...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…