Msaada:

Msaada:

Hus Yus

Member
Joined
Jul 8, 2018
Posts
9
Reaction score
2
Wanajamii wenzagu habari za wakati huu.kuna habari hii ya kurejeshewa pesa kwa wale waliolipa azam,zuku na dstv kuona channel za ndani,mwenye undani wa hili anisaidie.
 
Usiamini kila kiandikwacho mkuu,
wakurudishie kwani ulikua huangalii? Tena walikupendelea walikupa usichostahili kama vile umeagiza,wali nyama ya kuku,ukaletewa kuku na samaki na vyote ukala.
 
Na wewe umechukulia serious mkuu? potezea tu hizo.
 
Bado nina amini suala la ving'amuzi vile kusitisha matangazo ya Television za ndani lina sababu tofauti na hizo za kurudishiwa pesa zetu. Juzi nilikwenda dukani kuangalia antenna za kawaida na muuzaji alinishauri kununua Star times, ukweli nilikataa; still akili yangu inaniambia soon na huko nako itatafutwa tu sababu ya kuzuia, sitashangaa hata smart phone nazo zikipigwa marufuku nchini, mambo mengine ni kujiandaa kisaikolojia tu
 
Back
Top Bottom