Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimepata taarifa kuwa uokoaji umesimama katika Ziwa Victoria kutokana na giza kuwa kikwazo... Hii inatia simanzi kwani itasababisha hata wale walio hai wanaopigania uhai wao ndani ya maji muda huu...
32 Reactions
225 Replies
22K Views
Habari wakuu...... Jamani! Jamani! Jamani!... Hebu chunguza katika jamii unayo ishinayo ...utagundua kunawatu wanaplan /wazo/mipango mizuri sana ya kimaisha ....ajabu hawawezi kuishi katika...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
JINSI YA KUWAUA PANYA WENGI SHAMBANI AU MAJUMBANI Wengi mmekua mkihangaika kumalizana na hawa jamaa hii ndo komesha yao twendeni : Changanya mchanganyiko huu vizuri Cement -Kilo 3 Unga wa ngano...
7 Reactions
43 Replies
15K Views
TAZARA, Baadhi ya abiria waliokuwa wakisafiri Leo asubuhi kutoka Kitunda kwenda Gerezani walionesha kutofurahia kupitishwa chini ya Flyover hiyo mpya inayokadiriwa kuwa na urefu wa kilomita moja...
15 Reactions
41 Replies
7K Views
Kwako waziri wa maji ndugu mweshimiwa makame mbalawa tunaandika kwa machungu katika umoja wetu wananchi wa maganzo thidi ya hujuma zinazofanywa na viongozi wako uliwapa dhamana ya kusimamia sekta...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nani mwenye masikio sikivu? Nani mtetezi wa wanyonge? Nani anajali? Nani mwenye uchungu na maisha ya makabwela? Nani ni nani? Prof. PLO "We elect hyenas to take care of our goats and when the...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Habar za mda huu, Nimenunua plot maeneo fulani hapa dar ila napata tabu jinsi ya kubadilisha jina ya mmiliki wa eneo, Ni hatua gani natakiwa nizifate ili niweze kubadilisha jina. Nina mikataba...
1 Reactions
1 Replies
821 Views
Asante baba leo ni siku nyingine,Nashukuru kwa pumzi na nguvu ulizonipa leo,naomba pia nifungulie na ridhiki yangu ili ata kile kidogo nitakachopata kinisaidie mimi pamoja na jamaa zangu. Kuna...
19 Reactions
39 Replies
4K Views
Marko 8:36 Kwa kuwa itamfaidia mtu nini kuupata ulimwengu wote, akipata hasara ya nafsi yake? (For what shall it profit a man, if he shall gain the whole world, and lose his own soul? )...
1 Reactions
2 Replies
963 Views
Nimejaribu kurekebisha tangazo hilo hapo chini maana sijui wenye lugha zao walituelewaje, huenda kapewa mwanafunzi wa form 4 aandike tangazo hili na je halikupita kwa wahusika ili walisahihishe...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Nimekuwa nikisikia sifa mbaya kuhusu mti jamii na mpango kuwa unapandwa maeneo ya nyumbani huleta mtafaruko ndan ya familia na pia kusababisha umauti kwa wanafamilia, je kuna ukweli wowote?
1 Reactions
4 Replies
7K Views
Kama kuna fursa ambayo Binadamu yoyote yule huwa anaipenda basi ni pale inapotokea ‘ bahati ‘ na akakutana na Kiongozi Mkuu wa nchi ( namaanisha Rais ) kwani kwa Kukutana nae tu ‘ mubashara ‘ huwa...
0 Reactions
1 Replies
929 Views
Mkuu wa wilaya ya Kiteto Mkoani Manyara, Mhandisi Tumaini Mangesa amewataka madiwani kutokuwa chanzo cha migogoro badala yake wawatumikie wananchi. Mangesa ameyasema hayo wakati akizungumza na...
0 Reactions
0 Replies
752 Views
Uingereza. Kauli ya Rais John Magufuli kwamba watu wanaodhibiti uzazi ni “wavivu” imezidi kuzua mjadala ambapo gazeti la Daily Mail la Uingereza limehoji kwa nini nchi hiyo iendelea kuipa msaada...
12 Reactions
70 Replies
9K Views
Natambua juhudi zinazofanywa na serikali katika kuboresha barabara zetu. Najua ni jukumu linalogharimu fedha nyingi sana. Wazo langu la leo ni kuangalia jinsi gani tunaweza kuipunguzia mzigo huu...
2 Reactions
50 Replies
6K Views
Wakuu Jf! Nawasalim! Ingawa labda ni mapema mno kuongelea jambo hili wakati huu wa msiba wa Mv Nyerere; kwa upande mwingine ni mahali pake kwa mujibu wa hoja iliyopo. Hoja yangu inahusu wenyeviti...
0 Reactions
0 Replies
575 Views
Ukiwa una mtext mtu au unampigia mtu jitahidi wewe unaye piga simu au ku text ndo uanzishe mada ...unakuta mtu ana kupigia simu alafu anakuambia niambie what the meaning of this ,kama huna la...
9 Reactions
26 Replies
2K Views
Moto uliozuka usiku WA kuamkia Leo alfajiri mida ya SAA 8 usiku umeteketeza Magari 8 katika kituo cha mafuta cha OIl COM kilichopo Boko magengeni Barabara ya ( bagamoyo road ) Chanzo cha moto huo...
0 Reactions
36 Replies
8K Views
wakati dunia ikihimiza demokrasia na haki za binadamu waafrika tunakuja na ubunifu tofauti kabisa, wakati mchina anafanya jitihada za kuitawala tena Africa viongozi wetu wanajikita kwenye kutawala...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mkazi wa kijiji cha Burunga wilayani Serengeti, Chora Samson (27) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi Wilaya ya Serengeti kwa tuhuma ya kumbaka mama yake mzazi. Mbele ya Hakimu...
2 Reactions
54 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…