Wamachinga mjini Babati wamemuomba Mheshiwa Rais Magufuli kuwasaidia wafanye biashara zao kwa uhuru baada ya kudai kuwa wananyanyasika kwa kufukuzwa katika maeneo yao ya biashara huku wakirejea...
Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka(DART) imetangaza hayo jana Oktoba 12 na kusema kuwa muda huo ulianza kutumika tangu Oktoba 1 mwaka huu
Katika taarifa iliyotolewa, DART pia imeomba radhi kwa...
Wakuu Umofia Kwenu! Yajayo yanaumiza!
Nimesoma taarifa iliyokua kwenye Gazeti la Tanzanite na Nimevumilia lakini Nikaona nifanye uchambuzi Wenye hoja chache tu. Hoja hizi zinaongozwa na Uzalendo...
labda sheria ndiyo inayoelekeza lazima tuweke walinzi, lakini kama haipo,
basi hawa walinzi Wa makampuni walioko kila ofisi hawana uwezo Wa kuzuia wezi bali wapo kama mapambo mengine ya ofisi...
Nimepita mahali na kuona bango lililoandikwa Tanzania bila HIV/AIDS inawezekana.
Sasa najiuliza wanamaanisha nini wakati tayari inasemekana zaidi ya watu milioni 1 hapa Tz ni waathirika...
wadau,
Naomba ufafanuzi kwa ambae anajua maisha ya shetani kwa sasa
Nachokijua mimi ni kuwa shetani ni mwanamapinduzi aliyetupwa Duniani baada ya jaribio lake la kutaka kumpindua mungu kushindwa...
Mhuni mmoja wa kikenya anayetambulika kwa jina la Tom Malanga hivi sasa anaonekana kwenye video alizozirekodi ki-uwizi wizi akiziimba zile nyimbo maarufu za Les Wanyika zikiwemo Afro, Sina Makosa...
Walinzi wa Rais JPM
Wana Sura za Kauzu / Umakini muda wote
Wako Kikazi zaidi
Wana umakini sana
Wako ‘ natural ‘ eneo la tukio
Wameshiba / Wametukuka ‘ Kiitifaki ‘ zaidi
Wanajua Kujipanga vizuri...
Natarajia mtanipa ushirikiano wenu kwani nimeanza kuona kwamba yawezekana hii ikawa ni Fursa kubwa tu ya ' Kiajira ' Kwangu na inaweza ikanifanya niwe Tajiri mno. Nimeanza kuona Watanzania wengi...
Kumekuwa na watu huwa wanatuhumu wanaume kuangalia tamthilia sio vizuri kwao.
Hilo mimi napingana nalo kwa sababu kuna Tamthilia ukiangalia unajifunza mambo mengi tu. Tunaopenda kusoma vitabu...
Wanaume wenye magari wamekuwa wakituchapia sana dada zetu na wake zetu sababu ya Magari yao, Wanaume tusio na magari tunachapiwa na kunyanyasika sana. Mwanaume akishamiliki Gari tu basi wanawake...
Kwa msaada wa TCRA sasa tunalipa pesa ile kama zamani ila sasa hatupati kabisa hizo local channels kama zamani!
Walau zamani ukilipia zinakuwepo,kifurushi kikiisha zote zinakata!
Ila ndugu zetu...
Habar wana Jf
Naomba nifunguke uenda nikapata dawa Nina tatizo la ku-doubt kila tukio linalo tokea mbele yangu.
Hali hi Mara nyingi huninyima furaha kwani muda wote wasiwasi, hofu imenitawala...
Je, maisha ni raha? ni tabu? au vyote viwili?
Hiiii!!! Mzee mmoja wa heshima si wa dar lkn, aliwahi nijuza kuwa 'mjukuu wangu maana ya Maisha ni tata sana ni kama maana ya neno Siasa'
Matukio...
Salamu wakuu.
Binafsi sijawahi kufika Ikulu.
Vyombo vya habari huwa vinareport :-
' Rais / Makamu wa Rais / Waziri amekutana na fulani na fulani na kufanya nae mazungumzo Ikulu Jijini Dsm '...
Sometime tunaweza kujihisi tunamkosea MUNGU kwamba tunalalamika sana lakini nahisi tuko sawa na MUNGU nahusika na yote hayo.
Tukisoma Yeremia 1:4-8 Ni kwamba MUNGU alikua anafahamu maisha ya...
Siku 10 kabla ya kutekwa, bilionea huyo kijana alitumia kurasa za mitandao yake ya kijamii kutuma ujumbe mbalimbali.
Ujumbe alioutuma kwenye Ukurasa wake wa Twitter, Oktoba 10, 2018 ulisomeka...