Hii ni akili au matope?

Tigershark

JF-Expert Member
Oct 9, 2018
7,051
12,560
Kwa msaada wa TCRA sasa tunalipa pesa ile kama zamani ila sasa hatupati kabisa hizo local channels kama zamani!
Walau zamani ukilipia zinakuwepo,kifurushi kikiisha zote zinakata!
Ila ndugu zetu TCRA wameona watusaidie,sasa zimeondolewa na gharama tunalipa ile ile!

Huu ni mpango wa kutulazimisha kuangalia TBC?
 
Mm siku hizi nakula Ma movies za kwenye CD na flash mtajua wenyewe na Ma local Channels yenu.
Ila hapo kwenye bando za simu na pambana na hali yangu
 
Mkuu achana na hizo chaneli king'amuzi ninachotumia mimi hazipo hata kwenye list na sijawahi kujuta
 
Kwa msaada wa TCRA sasa tunalipa pesa ile kama zamani ila sasa hatupati kabisa hizo local channels kama zamani!
Walau zamani ukilipia zinakuwepo,kifurushi kikiisha zote zinakata!
Ila ndugu zetu TCRA wameona watusaidie,sasa zimeondolewa na gharama tunalipa ile ile!

Huu ni mpango wa kutulazimisha kuangalia TBC?
Serikali ya kilaghai
 
Kuwa mkweli na mfuatiliaji unafahamu hizo local channels ziliingia kwa mfano DSTV kinyemela...unajua kabla DSTV haikuwahi kuwa na local channels...we kama unataka kuangalia local channels TCRA wameshakuelekeza kupitia matangazo yao kwamba ununue king'amuzi stahiki...sasa sijui lengo lako hapa ni lipi...

TBC ni MUST CARRY channel na mataifa mengi duniani yanafanya hivyo...usipoweka Televisheni ya taifa kuwa must carry vipi soko huria likiamua kutoiweka na hii ndiyo taifa linaweza kuhabarishwa kuhusu lolote kwa haraka eg State of emergency...

Hebu tusiwe watu wa kulaumu,tujifunze kufuatilia maelekezo na kuelewa TCRA wameshakuelekeza local channels utazipata TING,CONTINENTAL,DIGITEK au STAR TIMES...na wala usitegemee zitakuja kurudishwa huko ZUKU,DSTV na AZAM.

Jifunze kuelewa maelekezo kabla ya KULAUMU na KUSHUTUMU.

N'yadikwa
 
Back
Top Bottom