Jinsi ya kuishi kama shetani

Jinsi ya kuishi kama shetani

Marwa_J_Merengo

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2018
Posts
4,510
Reaction score
6,893
wadau,
Naomba ufafanuzi kwa ambae anajua maisha ya shetani kwa sasa

Nachokijua mimi ni kuwa shetani ni mwanamapinduzi aliyetupwa Duniani baada ya jaribio lake la kutaka kumpindua mungu kushindwa

Sasa nachotaka kujua ni kuwa toka shetani aje hapa Duniani maisha yake ni yaleyale hayajawahi kubadilika

Halafu hivi eti kuna binadamu hapa duniani wanaishi kama shetani

Naombeni ufafanuzi tafadhari
 
Wanyonge wote wanaishi kama mashetani. Ujamaa ni mfumo wa kuzalisha mashetani, ili mtawala aweze watawala vizuri, ni rahisi kumtawala masikini,mnyonge hawazi chochote nje ya tumbo.Kwenye ujamaa wapatao tabu sana ni wasomi na matajiri.
 
Itapendeza kama ukinielewesha mishe za shetani hapa dunian yaani anaamka,analala,anasaka mademu,anasaka hela,na hata ikiwezekana kilevi ama vilevi anavyotumia
 
Achana na mashetani watu! Shetani og halali!
Naskia anamishe Mara elfu nyingi zaidi ya binadamu!
Tena hachoki, kwa sec 1, anaweza kuwa kashafanya mishe hata 3 kubwa.

Shetani sio mwanamapinduzi Bali muasi"
 
Mishe zake ni nyingi sana kiasi kwamba hazijawahi kwisha toka awepo.Afu muasi na mwanamapinduzi naona yana maana ==
 
Kuishi kama shetani ni kula mlo mmoja kwa siku na mala nyingi utawala unaotaka muishi kama mashetani umafukuza sana watu kazi ili watu hao wakose kula milo mitatu kwa siku
 
kwa hiyo na shetani anakula mlo mmoja kwa siku
 
Halafu hivi shetani hupendelea kuvaa mavazi gani.Huwa anavaa suruali kama zetu,sketi na vitop vya wadada,kanzu,kaniki,shuka za wamasai au anatembea uchi

Halafu hupendelea mavazi ya rangi gani
  • Nyeusi
  • Nyeupe
  • Khaki
  • Nyekundu
Tafadhari naomba nifahamishwe​
 
Shetani mtu wa bata sana basi tu watu hawajui...angalia ndio mmiliki wa starehe zote duniani
wadau,
Naomba ufafanuzi kwa ambae anajua maisha ya shetani kwa sasa

Nachokijua mimi ni kuwa shetani ni mwanamapinduzi aliyetupwa Duniani baada ya jaribio lake la kutaka kumpindua mungu kushindwa

Sasa nachotaka kujua ni kuwa toka shetani aje hapa Duniani maisha yake ni yaleyale hayajawahi kubadilika

Halafu hivi eti kuna binadamu hapa duniani wanaishi kama shetani

Naombeni ufafanuzi tafadhari
 
Nenda ukamuulize baba J,au pita Ilala Boma uonane na Bash baby!
sasa huyo baba J yeye ana uhusiano gani na shetani mpaka habari za shetani unanielekeza nikamuulize yeye

Au pengine ndiye msemaji wa shetani kiukweli nina hamu sana ya kujua kiundani maisha ya shetani kwa hiyo naomba msinijibu kimafumbo sana
 
Huyo ndyo alisema anataka watu waishi kama mashetani (so he knows how devils live)
 
wadau,
Naomba ufafanuzi kwa ambae anajua maisha ya shetani kwa sasa

Nachokijua mimi ni kuwa shetani ni mwanamapinduzi aliyetupwa Duniani baada ya jaribio lake la kutaka kumpindua mungu kushindwa

Sasa nachotaka kujua ni kuwa toka shetani aje hapa Duniani maisha yake ni yaleyale hayajawahi kubadilika

Halafu hivi eti kuna binadamu hapa duniani wanaishi kama shetani

Naombeni ufafanuzi tafadhari
Hakuna Mungu wala shetani.

Hizo ni storiea za kitungwa na watu tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom