TEAM 666
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 4,442
- 8,695
Habar wana Jf
Naomba nifunguke uenda nikapata dawa Nina tatizo la ku-doubt kila tukio linalo tokea mbele yangu.
Hali hi Mara nyingi huninyima furaha kwani muda wote wasiwasi, hofu imenitawala mara nyingi nikilitilia mashaka jambo basi hutokea kweli kwenye uhalisia
Hata kwenye maongezi ninapo ongea na mtu huwa namsikiliza lakini huwa simuamini akisemacho hadi nione baadhi ya provide zitakazo fanya niamini akisemacho huwa namtega kwa maswali ndani ya maongezi yake namchokea swali atakavyo nijibu huwa ndo nampa marks za kuamini alisemalo
hali hii inaninyima furaha.
Mara kadhaa nimekuwa nikiambiwa au kusimuliwa story na marafiki zangu lakini mind yangu inakataa kabisa kama hili jambo ni la kweli
Mara chache sana ndo ninamini yani in short nimekuwa mtu wakujiongeza kwa kila tukio hata kam halina maana
Yani asilimia kubwa ya vitu ninavyo v-doubt kama vitatokea basi hutokea kweli.
Mfano mtu akiongea kwa kumzuga mwenyezie basi mind yangu inaniambia hapa anamzuga tu hakuna uhalisia
Embu toa maoni yako