Swali la Ufahamu : Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu wote wana Ofisi ndani ya jengo moja Ikulu Dsm au majengo tofauti ?

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Salamu wakuu.

Binafsi sijawahi kufika Ikulu.

Vyombo vya habari huwa vinareport :-

' Rais / Makamu wa Rais / Waziri amekutana na fulani na fulani na kufanya nae mazungumzo Ikulu Jijini Dsm '

Naomba kujua; Hawa viongozi wetu wana Ofisi ndani ya jengo moja la Ikulu au vinginevyo ?

Nawatakia weekend njema.

# Bring Back Mo Dewji #
 
Mimi ninachojua waziri mkuu na makamo wa Rais wamehamia dodoma
 
Ofisi ni mahali alipo,akiwa mkoani huja kwa mkuu wa mkoa na atafanya kazi hapo.
 
Kwa Dsm, ofisi ya W/mkuu ilikuwa pembeni ya ikulu.

Ofisi ya makam Rais ni Ghorofa moja refu maeneo ya posta ila jengo lenyewe chafuchafuuu
 
General Mangi: 28755983 said:
Kwa Dsm, ofisi ya W/mkuu ilikuwa pembeni ya ikulu.

Ofisi ya makam Rais ni Ghorofa moja refu maeneo ya posta ila jengo lenyewe chafuchafuuu
Pale panaitwa Mkwepu street!
 
Back
Top Bottom