Maana ya maisha haitowahi patikana!!

Maana ya maisha haitowahi patikana!!

Mkuuwanchi

Member
Joined
Dec 16, 2017
Posts
84
Reaction score
68
Je, maisha ni raha? ni tabu? au vyote viwili?

Hiiii!!! Mzee mmoja wa heshima si wa dar lkn, aliwahi nijuza kuwa 'mjukuu wangu maana ya Maisha ni tata sana ni kama maana ya neno Siasa'

Matukio ya binadam mwenzangu kutekwa au kupata maswahibu yoyote yale huwa yanaitesa sana nafs yangu kwa dhana dhanaishi kuwamba 'kama Ningekuwa ni mimi ingekuwaje!'
 
Kamanda 'Makosa' avartar yako naiona ina wanyama ilhal yangu ina kuku, ndivyo tunavyotofautiana.
 
Maisha hayana maana,, wala hauitaji kuumiza kichwa kufikilia hilo, hayana maana, hayajawahi kuwa na maana na hayatakuja kuwa na maana milele,,
 
Mkuu nadhani Unachowaza ni kwamba unaweza kufanikiwa kwa juhudi zako lakini wakaja watu wasiojulikana wakafanikisha upuuzi wao.
Acha kuuacha usalama wako kwa taasisi usio na umiliki nayo’
Ishi kwa kutegemea usalama wako binafsi na Kumuomba Mungu aliekuleta hapa duniani umtukuze.
 
Back
Top Bottom