Nawez kusema kila mtu amepangiwa muda wake wa kuishi hapa duniani.
Kwa mfano wapo waliokufa muda mchache baada ya kuzaliwa, wapo waliokufa wakiwa vijana n.k
Wapo waliokufa bila kuguswa na wengine...
yafuatayo yatakuandama
ATM na Benki utakuwa unaipita kwa jicho pembe
Wanaokudai ndio wanajitokeza wakati huna chochote
mwenye nyumba kodi yake nae inakaribia sana
Mademu wakali na wa kawaida...
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya vipindi vya mvua kubwa vinavyotarajiwa katika msimu wa Novemba 2018 hadi Aprili 2019 katika kanda za magharibi, kati na nyanda za juu...
Tahadhari, picha ya kuogopesha chini.
Emmett Louis Till alizaliwa Julai 25, 1941 huko Chicago nchini Marekani, akiwa mtoto wa mwanajeshi Louis Till aliyezaa na Mamie Elizabeth Till-Mobley...
Kitonga Leo. Hawa wachina watatumaliza!
=====
Basi la kampuni ya New Force lililokuwa linatoka Mbeya kuelekea Dar es Salaam limetumbukia katika mteremko wa Mlima Kitonga mkoani Iringa.
Kaimu...
Kwa niaba ya Baraza la vijana chadema (BAVICHA) wilaya ya Geita tunatoa pole wa walimu na wazazi wa shule ya Emaco Vision primary school iliyopo Geita kwa watoto wao kupigwa radi hapo Jana kwenye...
Niliwahi kuandikamada moja kwenye tanzania daima ameishindwa fat ataiweza drfa
wapo walaiopiga vijembe lakini hiyo ilikuwa siku anachaguliwa kuongoza kamati za drfa
mwezi mmoja uliopita nilihoji...
Watoto watatu wa familia moja juzi Jumatatu walipotea na leo wameonekana wakiwa wamefariki maeneo ya Tazara maghorofani au kwa jina maarufu Njalo.
Kwa mujibu wa nilichosikia wamepatikana kwenye...
Kesi inayokabili Salvatory Minja, Mkazi wa Ngusero Jijini Arusha, baada ya shahidi Neema Lyimo ,kuangua kilio wakati akielezea jinsi mumewe (Minja), alivyomwingizia mkono wake mzima sehemu za siri...
Naombeni ushauri ndugu jamaa na marafiki kabla sijachukua maamuzi magumu.
Nina mtoto wa miaka mitano wa kiume,msichana wa kazi au mdada anaye nisaidia kazi hapa nyumbani amekuwa akimfanyia mambo...
Jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia Daniel Colner (21) kwa tuhuma za kumbaka bibi wa miaka 85.
Mtuhumiwa anadaiwa kufanya kitendo hicho katika kata ya Kingachi wilaya ya Rombo...
Tanzania tumekuwa na wataalam wengi sana wa kienyeji waengine wa kutibu wengine wa kupiga ramri na kubaini chanzo cha tatizo la mgonjwa au mteja wake na wengine ni wale wa kutoa majini na mapepo...
Habari za asubuhi wanajamvi, naomba kuuliza kuhusu utaratibu naoweza kuutumia ili kupata Kitambulisho cha utaifa. Wakati mawakala wanapita kuandikisha katika mitaa yenu nilikuwa nchi jirani...
Mvua kubwa ilionyesha usiku wa kuamkia leo ikiambatana na upepo mkali,imesababisha madhara makubwa katika shule ya sekondari Bukoba na kufungwa kwa muda. Wanafunzi zaidi ya 800 kuhamishiwa shule...
Wakuu
Naweza kusema Tigo wamezoea sasa, baada ya lile tangazo lao la jazwa ujazwe sasa wameibuka na tangazo lao kwa Tv ambalo ni mbaya zaidi afadhali ya lile la jaza ujazwe
Tangazo hili jipya...
Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA Mh. Edward Lowassa ameshiriki katika ibada ya mazishi ya kijana Joshua Mwakasege ambae ni mtoto wa mwalimu wa neno la Mungu Christopher...
Wahusika Wa hili tafadhalini sana mlifanyie kazi suala hili. Yaani dirisha za tellers zipo kumi ila zinazofanya kazi ni NNE tu. Huu ni uzembe uliopitiliza...au sababu ni ya serikali ndio muwe...
Binadamu tunaishi Maisha mafupi sana hapa duniani
Watu ambao wana uhakika wa kuishi angalau siku 36,500 sawa na miaka 100 ni wachache sana
Wanasiasa acheni kunyanyasa wananchi wenu...
kwa wiki kadhaa naona magazeti yanaripoti madudu ya mkurugenzi wa UDSM- computing Centre
Hivi ni kwa hawamu hii watendaji wa Serikali bado wanacheza na mali za uma
Inasemekana mali ya mamilion ya...