Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kampuni ya Kampuni ya MeTL Group yakunusha kufunga uzalishaji. Kupitia Akaunti yao ya Twitter, wameandika "Tunaendelea kusikitishwa na tukio lililomtokea Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni yetu...
5 Reactions
31 Replies
7K Views
SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco Mkoani Arusha, jana limeng’oa nguzo zaidi ya 40 na nyaya zake, zilizowekwa na vishoka, katika kijiji cha Manyire Kata ya Malangarine Wilayani Arumeru...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Kwanza nianze kwa ku declare interest kwamba sipendi sana kuvibeza vyombo vyetu vya ulinzi na usalama katika kazi zake, lakin kuna muda inabidi uvibeze kwa uzembe wao ama kwa kutotoa mwangaza wa...
6 Reactions
55 Replies
6K Views
Individually is it about being a supporter of a party ideology or country beliefs? Or just a trait of ignorance as a result of a poorly educated society(and here i don't mean number of students...
0 Reactions
0 Replies
534 Views
Vijana wajisiri wanaoweza kupinga mfumo kandamizi wako wapi siku hizi?
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Huyu mdudu anayeitwa bima ya taifa NIC ni tapeli anamsumbua mama yangu alishamaliza kuchangia bado wanamkata Bima yake imeiva hawataki kumpa hela yake wanamzungusha huu mwezi wa sita...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mi nimekuwa nikijiuliza sana kuwa iweje radi iko mawinguni lakini sijawahi kusikia imepiga watu waliomo ndani ya ndege au kusambaratisha ndege badala yake inawinda chini ya ardhi tu? Au kwanini...
4 Reactions
49 Replies
13K Views
BARAZANI KWA RAJAB Khashoggi: “Sema unayotaka kusema ujiendee zako” Na Ahmed Rajab NILIKUTANA na Jamal Khashoggi siku moja tu katika maisha yangu. Ilikuwa mwezi wa Ramadhan nilipoalikwa futari...
12 Reactions
17 Replies
3K Views
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo amewateua Wasanii Hamis M. Mwinjuma maarufu 'Mwana FA' na Single Mtambalike maarufu 'Richie' kuwa miongoni mwa Wajumbe Wengine walioteuliwa ni...
3 Reactions
34 Replies
6K Views
Wandungu, nimeingia mji kasoro bahari leo, kinachoshangaza hakuna usafiri wa daladala kama ilivyozoeleka, usafiri pekee ni bodaboda, kilikuu na bajaji, nimeuliza watu kadhaa wanasema wenye...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Yaani Wenzako wanatutaka Wananchi tutoe ' Ushirikiano ' wetu mkubwa kupitia Mitandao ya Kijamii ili tuweze Kumpata Mwenzetu ( Bilionea ) halafu anatokea Mtu mmoja na Mtumbo Tumbo wake anatutisha...
13 Reactions
25 Replies
3K Views
Wana jukwaa pendwa naomba niulize swali kama habari za Plato na Aristotle ni za kweli na ziko documented kwann tutilie shaka kuwepo kwa yesu kristo wakati plato aliishi miaka elfu kabla ya yesu...
3 Reactions
33 Replies
7K Views
Nimeshangaa sana baada kutumia hii app na kugundua kwamba eti bima niliyoikatia pikipiki yangu haisomi! Majibu yalikuwa ni haya, Hiki chombo cha moto hakina bima, KATA BIMA MPYA. TII SHERIA BILA...
2 Reactions
7 Replies
7K Views
Kwa siku za karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la kuenea kwa habari za kupika (fake news) na pindi habari hizo zikitoka hupata ufuasi mkubwa kuliko zile zenye ukweli au zilizothitishwa. Kimbunga...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Imeandikwa na Malisa GJ Ilikua dakika, masaa, siku na hatimaye wiki imekatika. Habari ya kutekwa kwa MO ilipobreak kwa mara ya kwanza alhamisi kama leo wiki moja iliyopita ilileta taharuki nchi...
4 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau wangu naombeni msaada wa haya mawe ambayo kimuonekano ni meupe sana na yanameremeta kiasi kwa jina yanaitwa terrazo. Natafuta soko bei yake ikoje sokoni
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari wapendwa, Naomba kuuliza, eti kama hata mimi nikienda nje ya nchi yetu Pendwa Tanzania na ikatokea bahati mbaya nimefariki, ndugu zangu wakaamua kuurudisha mwili Tanzania kwaajili ya...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Nimetafakari kwa kina sana , nikafikiria jinsi Familia ya MO inayoyapitia , nimefikia hitimisho kwamba hata kama nitafanikiwa kuwezesha MO kupatikana sitapokea hela iliyotajwa na familia yake...
32 Reactions
57 Replies
7K Views
Mbona tukio hili la kutoweka kwa Dewji bado hamjatuletea ,,asemavyo Tundu Lisu" ? Hakuna tukio ambalo hukaa kimya sijui kwa nini hili amelipotezea, ...
4 Reactions
25 Replies
4K Views
Jamani naulizi hivi hili katazo bdo lipo natarajia kwenda Mwanza kufuata samaki wa kitoweo, Nisaidieni kama hili katazo lipo
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…