Habari za wakati wanaJf,
Hoja ya umasikini na ufukara wa kutupwa miongoni mwa wahitimu wa fani mbalimbali kutoka vyuo vikuu na vya kati si ngeni katika fahamu zetu.
Wahitimu wengi kutoka vyuo...
Watu wengi wanapenda sana kuelezea matukio kwa kuwanyoshea vidole wengine , Je haiwezi kutokea kuwa Familia ikawa imelipa Ramson kimyakimya kadiri watekaji walivyotaka ili ndugu yao aachiwe huru...
Wana nzengo naomba kujuzwa hivi eneo alipotekewa na alipopatikana MO je kuna pagala ama msitu mnene Kiasi cha kuweza kujificha wao watekaji "pamoja" na hiyo gari Kiasi cha kuwafanya wasionekane...
kulikuwa na taarifa mbali mbali zikisambaa kwamba Asipopatikana mpaka tarehe 20 basi shughuri na viwanda vyote vilivyokuwa chini yake vitafungwa lakini taarifa hii ilikanwa na ndugu zake kwamba ni...
Hii kata kata ya umeme kila siku kila saa mna mpango gani?
Kama ni kuunguza vifaa tushaunguza mna agenda gani?
Kateni hata week sio kata rudisha mnatutia hasara.
Ndugu zangu watanzania leo kila mmoja wetu afanye maombi maalumu. Akili zetu zimenasa kwenye udongo mfinyanzi. Tuombe Mungu atunasue.
Bodaboda
Daladala
Rambirambi
Takataka
Pikipiki
Mbalimbali...
samahani wadau naomba kwa anaejua namna ya kuconfirm ifm nimetumiwa code lakini pa kuitumia cjaona plz naomba kwa anaejua anisaidie nimebakiwa na kesho 2
Habari ya weekend wanandugu,natumaini mko salama kabisa huku tukifurahia kurejeshwa kwa MO wetu.
Mwenzenu tangu niachane na demu wangu mwaka jana mwezi wakumi ambaye nilitegemea pia angekuja kuwa...
Katika ' Assignment ' yangu ya Somo la Hesabu hasa katika ' Topiki ' yetu mpya iitwayo ' Nine Days Equation and Percentage of a Kidnapped Country Tycoon ' nimejitahidi ' Kukokotoa ' zangu na...
Habari.
Muda huu ajali imetokea maeneo ya uyole njia panda stendi, watu kazaa wamefariki hapo hapo na majeruhi.
Updates.
Ajali imehusisha lori aina ya tipa, daladala aina ya Rosa na Toyota...
Habari, nimeona nishee hii hadithi nilosimuliwa na Rafiki yangu,
Anasema;
Nilikuwa na rafiki yangu anaitwa Ayubu Fadhili ambaye tulisoma shule moja darasa moja katika shule ya sekondari Manka...
Tutamlaum Mourinho weee but nimeangalia 1st eleven ya leo sijaona anayeweza kuingia kwenye team yoyote katika top six na akacheza hayupo hata mmoja
Hata Pogba hawezi
Mwenyezi Mungu / Allah
Kwa kuweza kutupa Watanzania wengi ‘ akili ‘ nyingi na kubwa kuliko za wale ambao ama ‘ Wanatutawala ‘ au ‘ Wanatuongoza ‘ japo Wao wanadhani wanaongoza ‘ Matahaira ‘ au ‘...
Amehamishiwa Makao Makuu na kuwa kamishna wa kitengo cha makosa dhidi ya binadamu.
----
Mkuu wa Polisi nchini (IGP), Simon Sirro amefanya mabadiliko madogo kwenye jeshi hilo na kumuondoa Kamanda...
Chelsea tumefungwa moja sawa ila huyu refa na wasi wasi nae atakua ana ushabiki na timu oliopo chin yetu ndo maana akatufanyia makusudi watufikie sa kwa taarfa yao hawatufikii na ubingwa wa epl ni...
''Kumrudisha Mo na kutelekeza gari hili sio mwisho, Jeshi la polisi linaendelea na upelelezi, ninafahamu kati yao kuna mtanzania na tunataka tukiwapata tuongee lugha nzuri kuwa walikuwa wanataka...
One definition of insanity is doing the same thing over and over again and expecting different results.
NB: Akumulikaye kwa tochi mchana usiku anakuuwa.
MUNGU ni mwema kwa watu wake.