Serikali imempa masaa 24 Balozi wa Jumuiya ya Ulaya (EU) Roeland Van de Geer kuondoka nchini Tanzania. Van de Geer anatakiwa kutokuwepo ndani ya mipaka ya Tanzania ifikapo saa sita usiku wa...
Habari!
Clouds media group company. kuongea ukweli hawa jamaa walikuwa na mvuto sana miaka ya nyuma kidogo, majamaa walikuwa na moto sana kwenye utangazaji wao iwe kwenye tv mapaka kwenye redio...
Mbali na kufungiwa na BASATA kujihusisha na masuala ya filamu kwa muda usiojulikana, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imemkalia kooni Wema Sepetu baada ya kumfungulia kesi ambayo sasa...
Mamlaka ya Uhamiaji nchini, imesema imeanzisha zoezi maalum la utambuzi wa abiria watakaokuwa wakisafiri kwa kutumia vitambulisho vya taifa kwa baadhi ya wasafiri wa mikoa minne nchini, lengo...
Mtangazji wa kipindi cha Take One cha Clouds Tv amefunguka na kusema hajutii kitendo kitendo cha yeye kumhoji shoga kwenye television na kusababisha 'outrage' kutoka kwa wadau mbalimbali mtandaoni...
Well said Lema katika press yake leo.
1. Thamani ya binadamu haipimwi na wingi wa vifo iundwe Tume huru kuchunguza mauaji Uvinza, viongozi wa dini na taasisi na mashirika mpo wapi!?# Free Zitto...
Msaada kwa wale wateja na watumiaji wa king'amuzi cha Dstv…
Naomba kuulizia kuhusu tofauti ya channels za bundle la 19,000 na lile la 36,000… je kuna channels za move zinazoongezwa kwenye bundle...
Kwa muda sasa viongozi wa vyama vya upinzani wamekuwa wakikamatwa na polisi na kuwekwa rumande kutokana na tuhuma mbalimbali. Na bila ya shaka hata sasa wengi wao wana kesi kadhaa...
Za chini chini kabisa nilizozinyaka ni kwamba kumbe hata Uongozi wa hiyo Media ulishaambiwa kuwa umuondoe katika Kipindi chao cha Asubuhi kwani amekuwa ' akiwasema ' vibaya na ' akiwadhihaki ' mno...
Hivi kwanini Tigo Fiesta huwa inafanyika Bukoba mjini na Muleba.Hii inapelekea Kagera kuwa mkoa pekee ambao hili tamasha ufanyika mara mbili ndani ya mkoa mmoja.
Kulikoni wana Kagera mnapenda...
Kiwanda kimoja nchini China kimezindua bia iitwayo "Fresh Mind beer" ambayo unakunywa na kulewa masaa matano baadae!
Meneja wa Kiwanda hicho kilichopo Ghuanzou amesema bia hiyo ni matokeo ya...
HATUA 11 ZINAZOTUMIKA
Kwa mujibu wa chanzo chetu chenye uzoefu wa maziko ya marehemu kwa njia ya kuchomamoto miili (cremation), kuna hatua kama 11 mpaka kumaliza zoezi la kuchoma mwili moto...
Aliyekuwa mtangazaji mkongwe wa Redio Tanzania na Sauti ya Ujerumani Florian Kaiza ameaga dunia leo jioni katika hospitali teule ya wilaya ya Missenyi,Mugana.
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya...
Habari zenu wakuu wa humu ndani?
Hope wote mpo njema wengine mliopo wagonjwa mungu awafanyie wepesi
Daaaa leo nimekaa nkaona niwaletee huu Uzi wa jinsi the way watu tunavyorukwa na akili wakati...
Habari za jioni wana forum.
leo ningependa tusimuliane machache kuhusu safari na ugumu wake.
kuna mwaka nilienda katika harakati za kutafuta rizki mkoani hapo.
Nilienda lkn mambo hayakuwa kama...
Habari zenu ndugu zangu..Naomba ushauri,Mawazo,Msaada wa namna ya kupata ufadhili wa masomo...Nimepata admission ya kujiunga na Chuo kikuu cha Dar es Salaam kwa fani ya Master of Business...