Ni kweli Tanzania imemfukuza balozi wa EU?

Jodeo

JF-Expert Member
Mar 10, 2015
1,286
1,326
Serikali imempa masaa 24 Balozi wa Jumuiya ya Ulaya (EU) Roeland Van de Geer kuondoka nchini Tanzania. Van de Geer anatakiwa kutokuwepo ndani ya mipaka ya Tanzania ifikapo saa sita usiku wa kuamkia Novemba 4, 2018.

Swahili Times on Twitter
 
Kuna mwingine wa UN naye anamdadisi mtoto mpendwa, sijui atasalimika?
 
Back
Top Bottom