Pax Vobiscum JF-Expert Member Oct 29, 2018 449 750 Nov 2, 2018 #3 Haaaaa kweli viwanda tutajenga kwa mtindo huuuu
Kasie Platinum Member Dec 29, 2013 21,248 36,306 Nov 2, 2018 #4 Aahahahahahahhaaa looh umenikumbusha Chikundee. Akili imenikumbusha nikiwa naongea na Dadii hatuishi kuchokozana na kutaniana na vicheko telee.
Aahahahahahahhaaa looh umenikumbusha Chikundee. Akili imenikumbusha nikiwa naongea na Dadii hatuishi kuchokozana na kutaniana na vicheko telee.
Mbaga Jr JF-Expert Member May 28, 2018 19,140 41,738 Nov 2, 2018 #5 naona dawa ya mafua imekutana na ARV
Bilionea Asigwa JF-Expert Member Sep 21, 2011 16,510 28,417 Nov 2, 2018 #6 He he he he Patamu sana hapo aiseee
NALIA NGWENA JF-Expert Member Oct 6, 2016 10,306 12,803 Nov 2, 2018 #7 Hapo lazima arudi kwenye njia juu