KINYUME CHA MAUMBILE NI NINI?

Princemwalejr

JF-Expert Member
Nov 9, 2017
496
488
Walichoshtakiwa hawa vijana waliolawitiana kwenye mahakama nzuri na wanasheria wazuri hakuna kesi hapo.

Kwani walitoboa tundu mpya? Ile tundu ni maumbile. Wawashitaki kuingiliana kinyume na utaratibu. Mpaka wakibadilisha vitabu vya sheria jamaa wamesevu.

Ubora wa wanasiasa na watunga sheria huonekana katika kurekebisha makosa ya aina hii. Ukizingatia hii kesi si ya kawaida na hukumu yake wengi hatukuijua kabla. Ni kesi ya kufanyia vigezo vya kesi zijazo za aina hii.
 
Mimi nimeshangaa james delicious kashtakiw issue ndogo sana eti kusambaza picha za utupu
 
KINYUME CHA MAUMBILE NI NINI? = makamasi kutokea mdomoni badala ya puani...mkojo tokeaaa uani na ma...vviii tokea kwa kojoleooo..."==chochote kifanyikacho tofauti na mfumo wa mwili wa binaadamu"

Ka wasinge vujisha picha walaaaa kusingekuwa na taabuuu....mbona hata wanandoa wengine wanafanyaa na wakifika enda JIFUNGUA pamba na matambara yanahusikaaa
 
Walichoshtakiwa hawa vijana waliolawitiana kwenye mahakama nzuri na wanasheria wazuri hakuna kesi hapo.

Kwani walitoboa tundu mpya? Ile tundu ni maumbile. Wawashitaki kuingiliana kinyume na utaratibu. Mpaka wakibadilisha vitabu vya sheria jamaa wamesevu.

Ubora wa wanasiasa na watunga sheria huonekana katika kurekebisha makosa ya aina hii. Ukizingatia hii kesi si ya kawaida na hukumu yake wengi hatukuijua kabla. Ni kesi ya kufanyia vigezo vya kesi zijazo za aina hii.
tapatalk_1540037290463.jpeg
 
Back
Top Bottom