Zuwenna
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 2,120
- 3,710
Nimekua nikiona baadhi ya taarifa za viongozi hasa Dar es salaam kuwa Kipindupindu kupungua, lakini hali ni tofauti Kigoma Kusini, Kila kukipambazuka watu wanazidi kupata hofu na mashaka, ifahamike kuwa eneo hili linategemea usafili wa majini pekee, kufika Kigoma mjini inakuchukua masaa 22 hii nihatari sana.
Nijana tu nimetoka kule ukweli hali nimbaya mbaya na hakuna juhudi zozote naziona kupambana na kipindupindu, kijiji kimoja kwa siku wanapelekwa watu zaidi ya 6, chakushangaza zaidi wanapelekwa Zahanati ambako kuna Mganga mmoja tu, Nilikwenda kupata likizo yangu na mwakampya kule lakini hali si nzuri nimekimbia kwakweli.
Naomba uongozi wa mkoa kuliangalia hili kwa kina,nakwenda kusaidia vijiji hivi-Kapala,mgambazi,Lukoma,Igalula,Mgambo,Nkonkwa,Katumbi,Stolo,Kalilani. Kijiji chenye hali mbaya ziadi ni NKONKWA, Muuguzi mmoja zahanati nzima.