Napendekeza kuongezwa tozo ya shilingi kumi (10) kwa kila lita moja ya mafuta (petrol) na fedha hizi zitumike kusaidia sekta ya afya (matibabu). Najua itaongeza gharama za maisha, tufanye kwa...
Leo nimeaibika, niko na mama mkwe tangazo la Salama kondomu hata lilipotokea sijui wapi. Kuna dada anamsifia Boyfriend wake anaitwa Amani okay lilipita lakini.
Kabla foleni haijaisha limerudi...
Mwalimu Israel Mlowasa (40) wa Shule ya Sekondari Nkuhungu katika Manispaa ya Dodoma, amekutwa ameuawa nyumbani kwake na kiganja chake cha mkono wa kulia kukatwa na kuondoka na wauaji hao...
Kansela wa Ujerumani Angela Merkel amezindua jumba jipya makao makuu ya Umoja wa Afrika ambalo limepewa jina la rais mwanzilishi wa taifa la Tanzania, Julius Nyerere. Jumba hilo ambalo jina lake...
Habarini wanadamu!
Ifuatayo ni moja ya tafakuri yangu, hivyo nikiwa kama mwanadamu huru katika ulimwengu unaoonekana, nimeona niwashirikishe mambo ambayo hata hivyo mtu yeyote huweza kufikiri...
Nimekuwa nikitafuta sana kwa miezi hii ya karibuni maeneo ambayo ningeweza kupata kuona Viatu vikining'inizwa kambani tena katika nyaya za Umeme ili nivipige picha na niweke kama kumbukumbu yangu...
Habari za wakati huu Wadau,
Imepita siku nne tangu niwe 'popo' mitaa ya kigamboni na kukutana na tukio la ajabu sana, kwangu mimi; waporaji kuvamia upande wa kivuko upande wa kigamboni na kupora...
Jamani, sisi wanafunzi wa St. Joseph tulioamishiwa RUCU kupitia Marian tumesumbuka sana toka mwezi wa nne hadi leo, hatujapata mkopo.
Tuna vigezo vyote na tumekua tukihangaika kuja Dar kufatilia...
My fellow parents ...read this Copied From_The_Emergency_Room.
As a Casualty Medical Officer in the Children Emergency Room, I have seen beautiful promising babies lose their lives because of...
Hakika nimeamini Tanzania inaongoza kwa Unafiki Duniani na Mbinguni. Siungi mkono tukio la yule mwanafunzi wa Mbeya kula kichapo lakini nashangazwa sana na matamko yasiyoisha.
Kinachoonekana pale...
Magonjwa ya akili yapo ya aina nyingi na mengi huwa hayatambuliki kwa urahisi kwa jamii na hata kwa watoa huduma wa afya na hivyo wagonjwa wengi huchelewa kupata matibabu stahiki. Aidha wagonjwa...
Ujumbe wa simu unavyokwenda kama ulivyo haswa Visimu vya kitochi kunaniachaga hoi kabisaaa
Ukiandika kijita, kikuria, sijui kiparee unaupata ujumbe kama kawa na kwa aekunde tu
Mwenye maelezo...
Gazeti la Jambo leo limeripoti kuwa Waziri wa afya, maendeleo ya jamii, jinsia, watoto na wazee, Ummy Mwalimu amesema utafiti unaonesha kuwa kwa kila watu wanne duniani , mmoja ana matatizo ya...
Kijitonyama, Sinza na Mikocheni:
Mitaa ya Sayansi, Makumbusho na Maeneo ya Mikocheni Rose Garden ni hatari sana kwa kina dada na kina kaka ambao huninginiza mabegi ya laptop na mapochi makwapani...
Polisi Mkoani Rukwa linawasaka wanafunzi waliofunga ndoa miezi mitatu iliyopita.
Habari kamili ya ndoa hiyo iliyofungwa kanisani ipo hivi…..
Binti wa miaka 15 ambaye ni mwanafunzi wa darasa la...
Zoezi la uhakiki na vitambulisho vya taifa limekua gumu sana.
Je, litawafikia na wafungwa magerezani?
Wagonjwa mahospitalini na walio nje ya nchi masomoni watarudi kuhakikiwa?
Wazee kwenye...