Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Shirika la kutetea Haki za Binaadamu la Amnesty International limeripoti kuwa wanaume 10 wamekamatwa na polisi Zanzibar kwa tuhuma za kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja. wamekamatwa fukwe ya...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Mahakama kuu ya Tanzania imekubali maombi yaliyowasilishwa kwa njia ya petition na Mwalimu Oluoch ya kutoshiriki siku ya usafi kitaifa ya kila jumamosi ya mwisho wa mwezi. Mwalimu Oluoch ambaye...
21 Reactions
260 Replies
39K Views
Tumshukuru mungu kwa kufika Siku hii ya Leo.ni siku bora kabisa ya IJUMA KWA WALE WAUMINI WA KIISLAMU.katika vitabu vya dini zote vimeandika tupendane.hili neno linaa maana pana sana tafasri...
5 Reactions
4 Replies
2K Views
Kasema polisi walimwambia akikiri mwenyewe kwa kinywa chake kwamba anatumiwa na Mbowe na Zitto basi atafutiwa mashtaka yote.Wakamwambia wangeitisha mkutano wa wanahabari halafu akiri hadharani...
39 Reactions
188 Replies
23K Views
Bibie Amber Rutty kama anavyojulikana na wengi ni zao la uharibifu ndani ya jamii iliyooza na malezi yaliyopooza na kukengeuka utu, staha, hadhi na heshima ya mwanamke Lawama nyingi zimemwangukia...
47 Reactions
189 Replies
15K Views
Zanzibar. Baada ya kuenea taarifa za kukamatwa watu 10 katika shehia ya Pongwe wilaya ya Kati mkoa wa Kusini Unguja kwa madai ya kujihusisha na matendo ya ushoga, Jeshi la Polisi limekanusha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jana majira ya saa nne na dakika 20 usiku(22:20) nilikwenda katika moja wapo ya sehemu zenye ATM machines za banks tofauti zilizopo off branches (nje ya maeneo yaliyopo matawi ya bank husika) hapa...
64 Reactions
264 Replies
23K Views
Wana Jamii wenzangu habari ya siku ya leo...! Tafadhali ningependa kufahamu ni kwa nini Mafuta ya kula kama Korie, Alizeti na mengine kwa ujumla wake ni ghali sana kuliko mafuta ya Mashine na...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
...serikali hii hii inayojinasibu kuwa jeshi lake la polisi linafanya kazi kwa uweledi na kufuata sheria zilizopo linaruhusu kitu hiki. Kuna kipande cha barabara (sina sababu ya kukitaja maana...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Kauli ya Waziri Lugola kuwa mashoga wapo salama nchini inasikitisha sana kwakweli hasa ukiangalia video hii
0 Reactions
14 Replies
2K Views
KAMA hujaisikia mbiu, ni vyema ukutangaziwa wazi kwamba wale ambao bado tunahifadhi picha na video za ngono kwenye simu zetu za mkononi kinyume na amri ya Mkuu wa Mkoa Paul Makonda ya kututaka...
2 Reactions
55 Replies
18K Views
Yaliyojri Wakati wa Mkutano wa Waziri Jenista Mhagama na Waandishi wa Habari Kuhusu Kutangaza Tarehe ya Kuanza Kutumika kwa Sheria ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma Na. 2 ya Mwaka...
2 Reactions
114 Replies
39K Views
Tanzania imeingia lawamani kwa hatua yake ya kubadili utaratibu wa utoaji wa viza kwa baadhi ya nchi ikiwemo Nigeria. Hivi karibuni, serikali ya Tanzania kupitia idara yake ya Uhamiaji ilitoa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
1. Shiraz Gathoo. Huyu ni bilionea kutoka Afrika ya kusini aliepata kutekwa mnamo mwezi wa 3 mwaka huu.Waliomteka walitengeneza kizuizi feki cha polisi na kisa kumpeleka kusikojulikana. Aliachiwa...
3 Reactions
32 Replies
8K Views
Yaani wahusika wake huwa mara moja moja najitahidi niwatazame na kuwaelewa ila natoka kapa...hasa huyo jamaa alievaa kama yupo FNL ya EATV...Mawingu hapa hamna kitu kifanyieni reformation hiki...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
NGARITO TUKIFANYA SAME IMEFANYA [emoji842]Ni vijana 52 walioamua kukaa kambini kwa siku 5 mfululizo ili kuhakikisha wanakamilisha ufunguzi wa barabara itakayounganisha kitongoji cha Gavao...
0 Reactions
2 Replies
971 Views
Ni usiku na giza limetanda. Nakatiza mitaa ya Buguruni Madenge na Malapa jijini Dar es Salaam, nashuhudia wanawake wamejilaza kwenye vibaraza, mbele ya nyumba zao wakitumia mwanga wa vibatari...
0 Reactions
21 Replies
15K Views
Ni ajabu na kweli ajali zinapokuwa ajali zikihusisha magari ya serikali. Wakosaji na wasiokuwa qualified ni wale ambao hawako serikalini. Mnajitenga na wananchi waliowaweka madarakani na hii ina...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Habari wanajukwaa! Hivi karibun kumekua na milio ya risasi jijini Arusha mida ya saa tatu usiku. Hii ni takribani Mara ya tatu kwa milio hii ya silaha za kivita kusikika. Kutokana na milio hiyo...
1 Reactions
33 Replies
5K Views
Kuna paragraph kadha wa kadha na sauti za watu mbalimbali kusikika kuwa ati kuna madoctor ukienda kisirisiri wanatibu ukimwi tofauti yao ni kiwango cha pesa ila inategemea wewe umemkuta yupi...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…