Ukisikia kuchanganyikiwa ndio huku...

Ukisikia kuchanganyikiwa ndio huku...

Mfiaukweli

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2018
Posts
5,636
Reaction score
8,779
...serikali hii hii inayojinasibu kuwa jeshi lake la polisi linafanya kazi kwa uweledi na kufuata sheria zilizopo linaruhusu kitu hiki.

Kuna kipande cha barabara (sina sababu ya kukitaja maana kuna uwezekano mkubwa scenario kama hii nitakayoitaja sasa inafanyika elsewhere) madereva wanaandikiwa faini ya makosa ya barabarani kwa tafsiri tofauti. Natoa ufafanuzi kwa mfano:

Mtu (dereva) anatokea Kariakoo kwenda Ubungo (au Tabora mjini kwenda Kipalapala), kuna kipande cha barabara kati ya Magomeni hadi Manzese (au Stand kwenda Kipalapala). Kuna kibao kinachoruhusu mtu (dereva) kuendesha gari lake kwa kasi isiyozidi 80 km/hour akielekea Manzese (au Kipalapala) LAKINI KIPANDE HICHO HICHO (ukitokea Manzese kwenda Magomeni - au Kipalapala kwenda Stand) polisi wanakuambia hupaswi kuendesha gari lako zaidi ya kasi ya 50km/hour!!

Hivi tuwaiteje waliopo kwenye serikali hii wanaosimamia sheria kwa mtindo huu?
 
Sawa ila kwa nini hausemi eneo husika.
Halafu nashauri tolea mfano sehem moja yaani kama ni Dar au tabora ili tuelewe kwa haraka
 
kuna ile anasimmisha gari linaenda kama mita 500 linasimama na konda anashuka. wanaongea kidogo anarudi safar inaendlea ghhhhhhhhh. inakera sana
 
Uzi haueleweki na haujatatua tatizo,hapa ni JF jaribu kuongea kwa uwazi au umeze uzi wako,sababu hauna maana yeyote humu!
 
Sawa ila kwa nini hausemi eneo husika.
Halafu nashauri tolea mfano sehem moja yaani kama ni Dar au tabora ili tuelewe kwa haraka
Mkuu kwenye hayo mabano ndio sehemu husika
 
...serikali hii hii inayojinasibu kuwa jeshi lake la polisi linafanya kazi kwa uweledi na kufuata sheria zilizopo linaruhusu kitu hiki.

Kuna kipande cha barabara (sina sababu ya kukitaja maana kuna uwezekano mkubwa scenario kama hii nitakayoitaja sasa inafanyika elsewhere) madereva wanaandikiwa faini ya makosa ya barabarani kwa tafsiri tofauti. Natoa ufafanuzi kwa mfano:

Mtu (dereva) anatokea Kariakoo kwenda Ubungo (au Tabora mjini kwenda Kipalapala), kuna kipande cha barabara kati ya Magomeni hadi Manzese (au Stand kwenda Kipalapala). Kuna kibao kinachoruhusu mtu (dereva) kuendesha gari lake kwa kasi isiyozidi 80 km/hour akielekea Manzese (au Kipalapala) LAKINI KIPANDE HICHO HICHO (ukitokea Manzese kwenda Magomeni - au Kipalapala kwenda Stand) polisi wanakuambia hupaswi kuendesha gari lako zaidi ya kasi ya 50km/hour!!

Hivi tuwaiteje waliopo kwenye serikali hii wanaosimamia sheria kwa mtindo huu?
KWahio unatuambia kuwa kuna vibao viwili tofauti kwa uelekeo kinzani kwa barabara hio hio yaani 50kph ukirudi unakutana na 80kph?
 
Back
Top Bottom