Wakuu kuna ka pikipiki kangu ka honda 110 kiki imekufa, nimezunguka sana naambiwa spea zake ni shida kidogo hapa Simiyu.... naomba anayefahamu sehemu nitakayopata anisaidie.
Wanajamvi ni dhahiri na ni wazi ushoga si kitu cha kukiletea masihala.. Hakuna mtu aliye zaliwa na wazazi wa kiume watupu yaani baba shoga mama shoga. Tufikirie mustakabali wa taifa kijamii na...
Nakumbuka Mwaka 2009 April Chama Cha CUF Kiliitisha mkutano mkuu wa mabadiliko ya Katiba na Sera. Mkutano huo ambao ulikuwa na agenda za uchaguzi Mkuu ambapo Prof Lipumba kupitia idara ya...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewapandisha kizimbani watu wawili akiwamo aliyekua Mkuu wa Manunuzi wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula(NFRA),Mohammed Ally na kuwasomewa mashtaka mawili ya...
Habar Zenu waheshimiwa:
Nianze na Wanaume wenzangu, tufanye kazi kwa bidii tutafute hela ili uzee wetu tuwe na uwezo wa kujitegemea. Hakikisha kwenye uzee wako una pesa zako mwenyewe za kukufanya...
habari za leo wote? nipo shamba shamba kweli kweli Bagamoyo ndani ndani nimeamua kulima tikiti japo ni mara yangu ya kwanza kulima ila nimeogopa kwa maneno ya wenyeji
Ushirikina ulivyoanza...
Juzi nimepigiwa simu na watu wasiojulikana, wakadai mdogo wangu anaumwa yupo hospital kuna pesa zinatakiwa so wanataka nitume pesa kupitia simu ili apate matibabu..nikawauliza ghalama kiasi gani...
Kwa vile upepo ambao unavuma kwa sasa unahusu habari za ushoga na mashoga, si vibaya tukijikumbusha kuhusu hawa watu.
Hapo chini ni rais mstaafu Jakaya Kikwete akiwa na Richard Quest, mtangazaji...
JICHAGULIE DUNIA YAKO
_______________________________________________
Sahau kuhusu mengineyo, kinachofurahisha ni kuwa katika dunia yetu hii kila mtu ni staa...ni staa katika dunia yake; tena kila...
Unaweza ukatoka na hasira kuwa leo naenda mwaribu sura huyu fundi kwa uhuni alionifanyia. Ukifika pale ukampa nafasi tu ajieleze.umekwisha. utamwonea huruma na utampa week nyingine amaliziea nguo...
Kwanini ramli inakatazwa?
Mganga kukusimulia matukio yako ya Nyuma na kuweza kumtambua mbaya wako na ukamuona LIVE ni Vibaya?
Nani alileta uchawi?
Kama mganga anauwezo WA kutambua matukio...
Mwalimu wa sekondari ajikuta kalazwa chooni
Tukio hili la kushangaza limempata makamu mkuu wa shule ya sekondari Chato, iliyopo wilayani Chato..
Mashuhuda ambao walikua ni wanafunzi walimkuta...
Kama nilivyoomba hapo juu serikali ilikataza waganga wa jadi wasipige ramli kutokana na wanasababisha mifarakano mikubwa kati ya familia fulani na familia fulani hata kufika watu kuuana.
Na hata...
Balozi wa Nyumba 10 katika Kitongoji cha Chang’ombe Kijiji cha Chamwino Ikulu, Simango Asheri amesema alishuhudia mwili wa Mariam Said (17) anayedaiwa kuuawa nyumbani kwa mganga wa kienyeji...
Waheshimiwa wana JF,
Natoa salam za heshima na upendo kwenu.
Leo napenda kuwaletea hili jambo la wa waganga wa jadi kutapakaa mitandaoni na mitaani.
Ukikata kona sehemu yoyote hususani Dar es...
[https://1]
Mbunge wa Kilwa Kusini, Suleiman Bungara maarufu Bwege, (CUF), amesema alifuatwa ili akubali kununuliwa kwa kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM), akakataa.
Bwege amesema hayo jana...
NAWAZA KISOMI ZAIDI.
Mpaka sasa ni miaka mitatu 3 wanasema wamejenga viwanda 3000. Ingawa hatuvioni mtaani.
Yawezekana vimejengwa japo mimi sijabahatika kuviona. Ila wewe unayesoma hapa umeviona...
Bahati nzuri waziri wa afya wewe ni mama pia!
Imeibuka kasumba au kadhia mbaya sana ya baadhi ya wakunga na madakitali kuwakagua utoko wawake kila wanapoenda kliki ya uzazi.
nasema ni kadhia...