agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,414
Juzi nimepigiwa simu na watu wasiojulikana, wakadai mdogo wangu anaumwa yupo hospital kuna pesa zinatakiwa so wanataka nitume pesa kupitia simu ili apate matibabu..nikawauliza ghalama kiasi gani wakaniambia 50 elf,kabla sijatuma nikapata wazo lakuuliza wapo hospital gani ,kwa bahati nzuri waliponitajia na Mimi nilikuwepo maeneo hayo hayo ikabidi niwaulize mpo sehemu gani tukutane,walinikatia simu mpaka dakika hii hiyo no aipatikani..nimejiuliza huu ni utapeli mpya ? Au mimi Ndo mshamba?