Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Miezi kadhaa iliyopita tulitaarifiwa kuwa kutakuwa na mvua zitakazonyesha zaidi ya kiwango maeneo ya Kanda ya Ziwa kuanzia Oktoba. Mpaka leo mvua zaidi ya kiwango haijanyesha licha ya manyunyu...
1 Reactions
2 Replies
893 Views
Serikali wamesema wanakwenda kununua korosho kupitia jeshi kwasababu wanunuzi hawataki kununua kwa bei elekezi. Sisi wakulima wa mahindi tumesaidia jamii haijapata njaa kwasababu supply ya...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Vijana acheni ubishi uchawi upo....every person on earth has a spiritual identity inayo eleza destiny ya mtu itakuaje mpaka mwisho wake. Soma Mathew 2 : 1 - 5 uta note baada ya Yesu kuzaliwa...
3 Reactions
8 Replies
4K Views
Shule ya private,fursa maridhawa kwa wawekezaji halmashauri mpya ya Buchosa mkoa wa Mwanza! - JamiiForums Wakuu kwema? Nianze kwa Ku declare interest ya kuwa mm ni mwalimu by professional,na...
0 Reactions
1 Replies
771 Views
Leo nitie neno kidogo wakuu ni kama kukumbushana tu kwa sisi vijana watafutaji, "Huwezi kuwasaidia wengine bila kujisaidia wewe kwanza" Kijana wakati wako wa kutafuta maisha tafuta ukiwa na nia...
1 Reactions
6 Replies
891 Views
Ukitaka kutumia mwili wako vyovyote vile upendavyo ni ruksa. Ukitaka kufanya chochote kile fanya. Hujazuiwa wala hutozuiwa maana mwili ni wako, uko nao muda wote na mara nyingi huchungwi. Ila...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Napata tabu sana na hii dhana!ukisema nataka nijikite katika siasa kugombea jimbo swali la kwanza nalokutana nalo ni je umejiandaa vipi? kwani umechoka kulea familia yako? Sasa nabaki namaswali...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Makanjibahi wakikuona wewe mfanyakazi Wao wana nguvu za kiroho kukutumia utajikuta unafanya kazi miaka 20 Kwa ujira mdogo na hutapiga hatua. Nimesimuliwa mhindi anayemiliki Apartments Kwa Jina...
6 Reactions
123 Replies
71K Views
Mimi ni Askali nilioiva huwa sitikisiki hata kwa upepo wa aina gani, Waliojaribu kunitingisa walitingisika wenyewe... baada ya saa 10 j3 hakuna Mfanyabiashara yeyote wa korosho atakayeruhusiwa...
3 Reactions
6 Replies
885 Views
Hii ni KERO kubwa sana kwa wafanyakazi & wajasilia mali, kwa uaminifu mkubwa MTU amemaliza kulipa PESA zenu mlizokuwa mnamdai then linaibuka deni jingine jipya ambalo halipo hata ktk MKATABA...
0 Reactions
2 Replies
961 Views
Mwanasheria msomi Alberto Msando amesema sheria yetu inakataza uingilianaji wa kinyume na maumbile,ambapo mtu anayefanya kosa hilo uhukumiwa kifungo cha miaka 30 kikiambatana na kazi ngumu ya...
7 Reactions
244 Replies
42K Views
Salaam wakuu. Heshima kwenu wakubwa. Katika hali isiyo ya kawaida watoto kutoka familia masikini ndio hasa wamekuwa waanga wakubwa na wameathirika pakubwa na suala zima la kukosa mikopo ya elimu...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nakumbuka TCRA waliwahi kusema DSM frequency zimejaa... Wajuzi naomba ufafanuzi
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Rafiki yetu jamaa yetu ndugu yetu bosi wetu kijana mwenzetu tokea arudi amebadilika ukitembelea ukurasa wake kwenye mtandao amekuwa mtu wa mungu mungu sana ..post 5 tokea arudi uraiani ni za...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Vijana wamekua wakichagua fani za kusomea na kujikuta wakilundikana katika fani moja, ilhali kuna zingine zinazohitaji wataalamu ikiwemo wakalimani wa lugha mbalimbali na wataalamu wa lugha ya...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Hapa maskani Nina kibwawa kidogo nafuga samaki kambale....nafuga na bata ambao nawatumia km sehemu ya kuimarisha mfugo wa kambale. 1.kinyesi chao ni chakula cha samaki wanavyoogelea. 2.wanafanya...
3 Reactions
63 Replies
5K Views
Wakuu,nimetokea kuwa addict sana na hutu tudude,kwa wajuvi wa mambo,hivi hakuna madhara yeyote naweza kupata kwa kuwa muhanga wa hiki kinywaji? kiukweli katika wiki lazima ninywe mara tatu au...
1 Reactions
14 Replies
5K Views
Hii bajeti ya ununuzi wa korosho JPM umeitoa wapi?
0 Reactions
1 Replies
799 Views
Imani yangu tuko wazima.nikirudisha kumbukumbu nyuma miaka 36 iliopita,naikumbuka siku nilio katwa govi(kutailiwa)siku hii sito isahau kwa kweli.asabuhi niliona watu wengi nyumbani,niliuliza...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Hakuna kitu kibaya duniani kama kuchukua au kudhulumu haki ya mtu. Kuna watu hawastahili lakini wanatumia nguvu kupata hicho wakitakacho kwa mtu kwa namna yeyote ile isiyo halali. Matokeo huipata...
4 Reactions
9 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…