Hii imekaaje?

Hii imekaaje?

Mchawi katiba tu hapo. Katiba ya bongo inampa mamlaka makubwa sana Mkulu kiasi cha kujiona mungu mtu na anakua na jeuri ya kujichukulia hata yale mamlaka ambayo hana kama hayo ya ku re allocate mafungu makubwa ya budget bila kufuata utaratibu wa kisheria

Mahali ambapo unaweza kuzisikia sauti za watu wa Chama Chake angalau zikimpinga ni pale atakaposema ataendelea kutawala hata baada ya miaka 10. Na hiyo ni kwa sababu kila mtu anataka ajaribu kugombea apate yeye utukufu

Kinyume cha hapo Mkulu anaweza kufanya lolote lile na hakuna atakaefungua domo lake kumpinga zaidi ya kumsifia kinafiki. Kwa Katiba ya sasa ya bongo Mkulu akisha apishwa anakua mkubwa kuliko Katiba yenyewe
 
Back
Top Bottom